Kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo awali, kuna Pikipiki maalum kwa ajili ya masafa marefu. Hata hivyo, wale bikers wanavaa pia SPECIAL COSTUME kwa ajili ya kinga kutokana na ukweli kuwa in case of anything mwili wa biker unakosa kinga nyingine kama ilivyo kwa magari.
Pole sana Brother...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.