Kiukwel hawa nacte kama wanazingua hivi.... Maana watu tunangojea wafungulie transfer lakini wao wameongeza tena muda wa applications hadi Tarehe 30/10/15...
Kama kuna mtu anajua unaweza fanyaje transfer faster basi tusaidiane ndg. Thnx!
Mwenye kujua link yenye majina ya waliochaguliwa atusaidie maana mie siyaoni kwenye web site yao... Afu kuna wale tuliomba kwa njia ya Ku download form na kujaza kisha tukazituma, Sa hzo profile tutaiona vp? Au tunawezaje kujua kama tumechaguliwa..? Msaada plz!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.