Recent content by Learn First

  1. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya vizuri kwenye kila interview utakayoitwa

    2. KUTOFANYA UTAFITI WA KUTOSHA JUU YA KAMPUNI, SHIRIKA AU TAASISI ILIYOKUITA KWENYE INTERVIEW Kwenye kila interview lazima utaulizwa swali litakalotaka ueleze unachokijua kuhusu kazi unayoiomba au shughuli za zinazohusu brandi inayotarajia kukuajiri. Swali hili kutokana na kutojibiwa vizuri...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya vizuri kwenye kila interview utakayoitwa

    Habari zenu. Natumaini kuwa hamjambo na gurudumu la elimu mnazidi kuliendesha vema. Mimi pia sijambo. Namshukuru Mungu. Moja kwa moja kwenye Mada. Tanzania ni kati ya nchi za Africa zenye wasomi wengi wa vyuo vikuu ambao wako mtaani bila ajira. Tena wengi wao wana vigezo toshelevu vya kuwa...
Back
Top Bottom