Ni cku chache zimepita toka nipost ombi langu la kaz hum jf basi leo nilipigiwa cm na mtu aliyedai yy ni meneja wa coca hapa mwanza na alidai yeye haitaji rushwa ya ngono bali anahitaji pesa kama elfu 50 nilimwambia cna mm nina elfu 20 meneja huyo bila waswas alitaka nimtumie hela hiyo kwenye...
Habari zenu wapendwa,mm ni msichana wa miaka 20. Natafuta kazi yoyote Mwanza sichagui wala sibagui, elimu yagu ni kidato cha nne pamoja na corse ya ualimu wa chekechea, naombeni msaada wenu. Namba yangu ni 0759067037
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.