Kipekee kabisa Idi ya leo nitapreferer kutoka out na mwanafamilia mwenzangu wa MMU,mwenye jinsia ya kike.Destination ni South Beach Kigamboni,costs za usafiri,meals,drinks etc nitacover mimi.Naomba nieleweke strictly sihitaji mchepuko just rafiki tu wa kubadilishana nae mawazo siku hii...
Keravnos v Cluj Napoca.Cluj napoca hawa ni Waromania na ofcoz ni team nzuri hasahasa kwenye ligi yake ya ndani though kwenye international games ni wa kawaida sasa ni bahati mbaya anakutana na hawa Wacyprus-Keravnos ambao msimu huu ni unbeaten in 10 consecuctive games akiwa nyumbani in all...
Sawa mkuu hakuna neno.Twende kwenye game ya Buducnost v Trento.Buducnost anatoka Montenegro na ni moja ya team zilizo on fire msimu kwenye international games.Buducnost katika mechi 20 alizocheza nyumbani kwake msimu amepoteza mbili tu tena Lokomotive Kuban Krasnodar(hili ni jabali la basket...
Strausbourg ni team hatari sana inapokuwa home.Na leo anacheza nyumbani kwake tena akitoka kupoteza game mbili za michuano hii.Na anayecheza nae ni Venizia toka Italy ambae mechi za away kwake ni tatizo.But hata hivyo in general team za France kama Strasbourg,Nantere,Monaco,LePotel zni superior...
Mkuu ahsante kwa ushauri but nikuhakikishie mi ni mzoefu wa miaka mi4 sasa kwenye basket...nimewekeza muda mwingi sana kwenye industry hii ya Basketball.Then option ambayo unaweza kuitabiri precisely kwenye kikapu ni direct win tu na si kingine.Hizi under na over ni purely by chance.
Mkuu ahsante kwa ushauri but nikuhakikishie mi ni mzoefu wa miaka mi4 sasa kwenye basket...nimewekeza muda mwingi sana kwenye industry hii ya Basketball.Then option ambayo unaweza kuitabiri precisely kwenye kikapu ni direct win tu na si kingine.Hizi under na over ni purely by chance.
Wakuu hizi hapa odds 10 za basket nimejiridhisha baada ya kuzifanyia analysis ya kutosha
Torino v Lietuvos Rytas-2 (1.88)
Keravnos v Cluj Napoca-1(1.70)
Buducnost v Trento - 1 (1.60)
Bakken v Szolnoki- 2 (1.80)
Strasbourg v Venezia-1 (1.32)
Mechi zote zinapatikana kwenye European leagues...
Shukrani kwa uchambuzi Murua mkuu...kwa ushauri wako ilinibidi niisubiri hii game na imetoa..tena kwa kishindo.Kiukweli international games za Basket zinatoa sana na zinatabirika kwa wepesi...kuanzia Euroleague,Eurocup,Europa Champions league,Euroleague women,ABA league,ABA 2,na VTB league zote...
Waheshimiwa nina mkeka wa meridianbet nilicheza basket pekee mechi 8,niliunganisha za jana na ya leo moja.Za jana 7 zote zimetick.Bado game moja tu ya Euroleague PANATHINAIKOS Vs BARCELONA,saa 4 usiku..nilimpa Panathinaikos ushindi.Wenye maarifa na hizi game za Euroleague tafadhali nishaurini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.