Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika unahusisha maeneo mengi, ikiwemo uchumi na biashara, afya, kilimo, sayansi na teknolojia. China imeshiriki katika ujenzi wa miradi mikubwa ya miundombinu katika nchi za Afrika, na pia imejihusisha katika kusaidia jamii za huko kuondokana na changamoto...
Uhusiano na ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika umedumu kwa zaidi ya miaka 70, tangu wakati China ilipoanzisha uhusiano wa kidiplomasia na nchi hizo za Afrika. Katika kipindi hicho, China imedhihirisha lengo lake la kujenga jamii ya binadamu yenye mustakabali pamoja kati ya China na...
Julai 16 mwaka 2026, ni siku adhimu ambayo imeingia kwenye vitabu vya historia, baada ya China kuandaa hafla ya kusaini mkataba wa kuanzishwa kwa Shirika la Ushirikiano wa Akili Bandia Duniani (WAICO) huko mjini Shanghai. Nchi 29 zikiongozwa na China walisaini makubaliano hayo kama wanachama...
Wamiliki wa viwanda na wafanyabiashara wa Afrika wametoa wito kwa bara hilo kujifunza kutokana na uzoefu wa mageuzi ya viwanda ya China kwa kuimarisha mipango ya muda mrefu, kuwekeza katika uvumbuzi na ujuzi, na kutafuta njia ya maendeleo inayoendana na mazingira ya Kiafrika.
Mkutano wa Indaba...
Kwa zaidi ya muongo mmoja, Khadija Ali Saleh aliishi na maumivu makali ambayo hatua kwa hatua yaliondoa furaha na ubora wa maisha yake. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 76, mkazi wa Zanzibar, Tanzania, alisumbuliwa mara kwa mara na vipindi vya kiungulia kikali na maumivu kifuani...
Timu za madaktari wa China zimekuwa msaada mkubwa kwa afya ya jamii katika nchi nyingi zinazoendelea, zikiwemo za Afrika. Katika nchi nyingi za Afrika, licha ya changamoto za lugha, madaktari hao wamekuwa msaada mkubwa kwa kuungana na madaktari wazawa katika kutoa elimu ya afya, utambuzi wa...
Kura ya maoni ya hivi karibuni ya Kituo cha Utafiti cha Pew inaonyesha kwamba taswira ya Marekani imeharibika vibaya barani Afrika wakati wa miaka miwili ya kwanza ya muhula wa pili wa rais Donald Trump. Watu waliohojiwa katika nchi za Ghana, Kenya, Nigeria, na Afrika Kusini, tatu kati ya hizi...
Katika kipindi cha kati ya mwaka 1959 hadi 1961 China ilikumbwa na tatizo kubwa la uhaba wa chakula, tatizo ambalo lilisababisha madhara makubwa ya kiuchumi na kijamii na hata vifo kwa watu wengi. Tatizo la uhaba wa chakula nchini China lilitokana na ukame na hali mbaya ya kijiografia, na hata...
Ukuta Mkuu wa China ni moja ya maajabu ya dunia yanayofahamika katika dunia nzima. Kwa sasa ukuta huu wenye urefu wa zaidi ya kilometa elfu 21 uliojengwa kwa ajili ya sababu za usalama kwa madola ya China kwa wakati ule, kuzuia maadui kutoka madola ya kaskazini, umekuwa ni kivutio kikubwa cha...
Kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu Marekani na Israel zilipozusha mgogoro wa Mashariki ya kati kwa kuishambulia Iran, bei ya mafuta kwenye soko la dunia ilipanda kwa ghafla na kuleta changamoto kwa maisha ya watu wenye mapato ya chini katika nchi mbalimbali duniani. Kati ya nchi zote kubwa duniani...
Ndani ya karakana iliyojaa watu wengi kando ya pwani ya Bahari Nyekundu ya Misri, Kareem Gaber, meneja wa vifaa katika kampuni ya Jushi Egypt Fiberglass Co., Ltd., amesimama karibu na kigari cha kunyanyua mizigo, akikagua kwa makini vifurushi vya plastiki ya fiberglass.
"Kwa siku tunaweza...
Katika asubuhi angavu ya siku ya Jumamosi huko Kombeni, nje kidogo ya Zanzibar mjini, mlinzi wa usalama mwenye umri wa miaka 71 Amin Maulid Juma alitoka kwenye kliniki ya Sinai Polyclinic akiwa na hisia mpya ya utulivu na shukrani.
Kwa wiki kadhaa, alikuwa amevumilia kukosa usingizi usiku kucha...
Katika siku iliyojawa na hamasa, mamia ya vijana wa Kitanzania walimiminika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika mji wa kibiashara wa Tanzania. Walikusanyika kwa ajili ya Maonesho ya tano ya Ajira kati ya China na Tanzania, yaliyofanyika kwa siku moja nzima na kuwakutanisha watafuta ajira...
Katika chumba cha mihadhara katika Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dodoma nchini Tanzania, Tausi Iddi Nzimano, anayejulikana kwa jina lake la Kichina kama Lin Shi, hubadilisha kati ya lugha ya Kichina na Kiswahili bila shida anapowaongoza wanafunzi kwenye matamshi, sauti, na misemo ya...
Bertha Asiedua Boadu, mwanafunzi kijana wa Ghana, alianza kupenda kutazama filamu za Kichina mwaka 2020. Ili kuelewa hadithi za filamu bila kutegemea (subtitle) yaani tafsiri zinazopita chini ya filamu, mwanafunzi huyo alianza kutumia programu za kujifunza lugha ya Kichina mtandaoni ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.