Recent content by lazar

  1. L

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini: Nitazirejesha fedha za Rugemalira

    Bora zingewekwa kwenye A/C ya kanisa sasa ya kwake? Huo ulikuwa mgao tu asituzuge
  2. L

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nyie voda mjirekebishe hivi kweli mtu unakuwa umejiunga kifurushi kweli hata mtu akitumia sekunde 20 mnahesabu ni dakika mna umaskini gani kiasi hicho? Badilikeni kuna kipindi mlianza kufanya hvyo then mkaacha, tena mmeanza
  3. L

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii,Wafanyakazi wa umma na wasio wa umma kufa masikini

    Inasikitisha kwa kweli hawa jamaa wataipitisha ngoja tuone
  4. L

    JamiiForums Tanzania Vinanda vinauzwa

    Vinanda bado unavyo?
Back
Top Bottom