Kiukweli asikudanganye mtu mapenzi ni hisia je, huyo binti ana ubongo wa aina gani kuwa nahisia kwa watu zaidi ya mmoja make kama unaye na mwingine anapiga inamaana hisia zinaamia kwa yule mwingine hata huyo wa tatu akipiga cm hisia zitaruka vile vile kwahiyo asikudanganye na mapenzi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.