Recent content by Laswell

  1. L

    JamiiForums Tanzania Polisi Wamkamata Luteni Feki Wa Jeshi

    Kuna jamaa yangu alikuwa askari akatimuliwa kwa makosa ya kinidhamu. Sijui ilitokea nini akawa hajakabidhi uniforms na vitu vingine,Asee walimfata wakambananisha kwa kosa la kutumia sare za jeshi wakati sio mtumishi
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

    🤣😂🤣🤣
  3. L

    JamiiForums Tanzania Polisi Wamkamata Luteni Feki Wa Jeshi

    Au alishakuwa mjeda akafukuzwa na hajarudisha gwanda ndomana alikuwa anatafutwa kwa muda mrefu? Nimewaza tu kwa sauti
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiuno hana kisa chipsi kuku ya mapenzi

    Salaam alaikum, Kijana wa chuo,kijana wa kiume ambaye familia yake ilitegemea apate elimu Kisha kupitia elimu hiyo ukombozi wa kiuchumi upatikane kwa wanaomtegemea,ameamua ajirushe gorofani kisa chipsi alizomnunulia mpenzi wake. Iko hivi, jamaa ana mpenzi wake chuoni na kwa alivyokuwa anaona...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hivi mnafanyaje kuishi na mtu anayenuna?

    Maana ya timu nikwamba kila mmoja ana umuhimu wake ili kufikia malengo yakazi,hivyo hakuna mwenye umuhimu kuliko mwingine. Tufanye labda tumemletea ufala kama unavyohisi, dawa nikununa au alitakiwa aseme kilichomkwaza watu wayamalize kiume?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hivi mnafanyaje kuishi na mtu anayenuna?

    Wewe mdada weweee! Nataman useme hii comment ni utani
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hivi mnafanyaje kuishi na mtu anayenuna?

    Hii nayo ni hoja ya Msingi ambayo kwenye kutafuta sababu inabidi tuiongeze na kuitafakari
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hivi mnafanyaje kuishi na mtu anayenuna?

    Japo hilo halijawahi kutokea ila hata lingekuwepo dawa ilikuwa kufunguka kuwa jamaa zangu nimewasikia mnanisema moja mbili,sijapeda. Kununa ni suluhisho kivipi?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hivi mnafanyaje kuishi na mtu anayenuna?

    Tumejaribu kumuuliza amesema hakuna tatizo. Ila mkuu ulivyosema kuogopa makabiliano nahisi labda jamaa anahiyo tabia pia. Mnaweza kuwa mnajadili jambo katika Hali ya kawaida,yeye akichangia mkaja kumrekebisha kwa Nia ya kuweka usahihi kwenye hoja yake anaanza kubadilika na kukaa kimya hadi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hivi mnafanyaje kuishi na mtu anayenuna?

    Kwel mkuu kwani naona hata sisi tumeanza kuingia kwenye huo mtego wa kumnyamazia bila kumsemesha kitu ambacho bunafsi kinatuuma sana
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hivi mnafanyaje kuishi na mtu anayenuna?

    Hauzuii kazi kufanyika ila Ile dhana ya teamwork inakosa nguvu kwa namna Fulani mkuu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hivi mnafanyaje kuishi na mtu anayenuna?

    Nimwanaume mkuu😀
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hivi mnafanyaje kuishi na mtu anayenuna?

    Wakuu salaam kwenu. Imebidi niombe maoni yenu kwani Kuna tabia za ajabu ambazo kuishi nazo yataka moyo. Tumepiga kambi kwa kazi Fulani ya miezi sita Mimi na jamaa zangu watano,hivyo tupo jumla watu sita, wote wanaume. Tunaishi maisha ya furaha kama marafiki au niseme ndugu kwani hakuna...
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ina ulazima gani?

    H Hizi HAPANA nimezikubali mkuu
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ina ulazima gani?

    Walikuwa hawajamfahamu vzr ....mmoja kati ya waliotongozwa ndo alifunguka kuwa jamaa amekuja na kusimulia yote yanayoendelea huko duniani
Back
Top Bottom