Recent content by Lastbornson

  1. L

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida 7 muhimu za kujamiiana kwa kiwango stahiki

    Halafu, inaposemwa risk haimaanishi kuwa lazima upatwe na tatizo hilo lakini unakuwa katika uwezekano mkubwa wa kupata tatizo. Mfano inaposemwa kufanya ngono isiyo salama, inakuweka katika hatari ya kupatwa na kadha wa kadha, lakini haimaanishi kuwa wore wanaofanya hivyo wamepatwa na matatizo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida 7 muhimu za kujamiiana kwa kiwango stahiki

    Sio mbaya ni mtazamo wako kiongozi, ila usisahau kuwa kumpa mwanamke ujauzito hakutokani na kufanya ngono Mara nyingi. Kujamiiana Mara moja tu kunatosha kusababisha ujauzito ndugu. Kwahiyo katika mazingira yanayoruhusu ujauzito, endapo utajamiiana na wanawake hata wanne kila mmoja kwa kila baada...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida 7 muhimu za kujamiiana kwa kiwango stahiki

    Bila shaka ndio unaamka[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  4. L

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida 7 muhimu za kujamiiana kwa kiwango stahiki

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kama anavunja miwa..! Duh..!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida 7 muhimu za kujamiiana kwa kiwango stahiki

    Mi ndo naenda
  6. L

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida 7 muhimu za kujamiiana kwa kiwango stahiki

    Upo sawa mkuu, hapo sio wote
  7. L

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida 7 muhimu za kujamiiana kwa kiwango stahiki

    Ila usikeshe kiongozi!
  8. L

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida 7 muhimu za kujamiiana kwa kiwango stahiki

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] ukigongagonga
  9. L

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida 7 muhimu za kujamiiana kwa kiwango stahiki

    Asante kwa sapoti, huenda kwa lugha hii ilitoletwa kwa boti anaweza kuamini
  10. L

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida 7 muhimu za kujamiiana kwa kiwango stahiki

    Ila mkuu sikusema ugegede kupota kiasi, naomba urudie kusoma tena kwa utulivu, kuna point Fulani utapata. Halafu sikuokota kiongozi. By the way, umejuaje kuwa Mimi si mtaalamu wa afya? Si hivyo tu mwishoni nimesema ukitaka ukamilifu, soma mahala pengine mkuu.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida 7 muhimu za kujamiiana kwa kiwango stahiki

    Dah, umenichekesha sana mkwepa kodi
  12. L

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida 7 muhimu za kujamiiana kwa kiwango stahiki

    ZIFAHAMU FAIDA 7 MUHIMU ZA KUJAMIIANA KWA KIWANGO STAHIKI. Tendo la kujamiiana kwa walio wengi limekuwa ni tendon bora sana has a likifanywa na wenza ambao kila mmoja ana mvuto wa kimapenzi na mwenza wake. Ukiacha ile hali ya kujisikia raha isiyoelezeka ikaeleweka, lakini zipo faida nyingine...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kulikoni wanaume wa miaka hii mmekuwa wadhaifu namna hii?

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] duuh
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kulikoni wanaume wa miaka hii mmekuwa wadhaifu namna hii?

    Umejumuisha sana ndugu, labda useme wote uliokutana nao wapo hivyo. Hata hivyo usisahau kuwa chakula kivutiacho humfanya mtu ajikute kala sana tena kwa muda mrefu tena bila kupumzika. IPO haja ya kuangalia na upande wa pili kabla ya kujudge.
Back
Top Bottom