Zifahamu faida 7 muhimu za kujamiiana kwa kiwango stahiki

Pia kama lishe yako ni mbovu husababusha magonjwa ya kusahausahau, macho kutoa majimaji mahali penye mwanga mkali, kukonda kulikopitiliza, ngozi kukosa nuru/iliyokunjamana na kuwa kama ya kibabu or kibibi, uchovu wa kila muda, PIA UKIKAA MAHALI KWA DK 5 AU ZAIDI ALAFU UKISIMAMA MAGOTI YANALIA KAMA VILE MTU ANAVUNJA MIWA!
 
kama anavunja miwa..! Duh..!
 
Mengine uongo mtupu, mwanaume ana utitiri wa watoto na bado anapatwa na tezi dume.
 
Mengine uongo mtupu, mwanaume ana utitiri wa watoto na bado anapatwa na tezi dume.
Sio mbaya ni mtazamo wako kiongozi, ila usisahau kuwa kumpa mwanamke ujauzito hakutokani na kufanya ngono Mara nyingi. Kujamiiana Mara moja tu kunatosha kusababisha ujauzito ndugu. Kwahiyo katika mazingira yanayoruhusu ujauzito, endapo utajamiiana na wanawake hata wanne kila mmoja kwa kila baada ya wiki bado unaweza kuwa umesababisha ujauzito kwa wanawake hao wanne, ambao huenda wakazaa watoto wanne. Fikiria zaidi, utaelewa tu kiongozi.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Mengine uongo mtupu, mwanaume ana utitiri wa watoto na bado anapatwa na tezi dume.
Halafu, inaposemwa risk haimaanishi kuwa lazima upatwe na tatizo hilo lakini unakuwa katika uwezekano mkubwa wa kupata tatizo. Mfano inaposemwa kufanya ngono isiyo salama, inakuweka katika hatari ya kupatwa na kadha wa kadha, lakini haimaanishi kuwa wore wanaofanya hivyo wamepatwa na matatizo hayo. Ndivyo ninavyoelewa Mimi kiongozi.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom