Hii ni good move sana kwa uchumi wetu! 🇹🇿
Watu wengi wakisikia “Fedha za Kiislamu” wanafikiri ni mambo ya dini tu, lakini ukweli ni kwamba ni mfumo wa fedha ulio makini, salama na unaolinda mtumiaji dhidi ya riba na ulaghai.
Kwa kifupi:
Haulazimishi mtu kubadilisha dini — ni option kwa yeyote...
Kila siku ukiamka na kufungua WhatsApp status, Instagram story au Facebook timeline, lazima utakutana na mojawapo ya hizi au mfano wa hizi:
“I choose peace over everything.”
“Not everyone deserves access to me.”
“I’m healing silently.”
“If it costs me my peace, it’s too expensive.”
Yaani dunia...
Na walinyanyaswa hasa, sababu zikiwa tamaduni, kukosekana kwa elimu n.k ila sasa washaamka ijapokuwa nao walioamka wameamkia pabaya wengine.
Muhimu mwanamke asikandamizwe na asijikandamize, kila mmoja aheshimu mipaka ya mwenziwe na hii iwe kwa ngazi zote kuanzia familia mpaka jamii yote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.