Recent content by Last King of Zanziba

  1. Last King of Zanziba

    Ridhwani: Kikwete hana ugomvi na Lowassa

    12STONE Jaribu kuukubai ukweli mkuu, mimi na wewe hatuna chaguo tz, tunalazimishwa tu. yaani hata hili huwezi kuliamini pia
  2. Last King of Zanziba

    Uchaguzi wa 2020: Mipaka ya Tanganyika na Zanzibar itakuwa hivi

    nngu007 docs ueneshwe wewe, pole sana mkuu
  3. Last King of Zanziba

    Uchaguzi wa 2020: Mipaka ya Tanganyika na Zanzibar itakuwa hivi

    Bouncer Mkuu naona leo umeonja sana, mimi nina ombi moja tu kwako Hebu yasome maneno yako kwa sauti huku ukiwa unayarikodi, halafu uyasikilize, ukisha uniambie kama unaamini mwenyewe kama ni maneno ya maana Wakuria wenu watakuja znz kulima tu
  4. Last King of Zanziba

    Uchaguzi 2015: Mzanzibari kugombea Urais kwa tiketi ya CCM

    MOTOCHINI Ili kushinda uchaguzi huku tz, si lazima uwe na idadi kubwa ya kura viboksini, muhimu kutangazwa kuwa umeshinda tu
  5. Last King of Zanziba

    Uchaguzi 2015: Mzanzibari kugombea Urais kwa tiketi ya CCM

    Bushman kwani wewe unaweza kustahamili bakora za ccm?
  6. Last King of Zanziba

    Uchaguzi wa 2020: Mipaka ya Tanganyika na Zanzibar itakuwa hivi

    Kulingana na mikata ya kimataifa nchi inahaki ya kudai ardhi yake, ndio maana Slovakia wakavunja mkataba na Check, Scot,and walipewa uhuru kuvunja mkataba na England. Ingekuwa Yes vote imepasi basi scotland wangedai ardhi yao officially Sasa na znz ikiwa huru itaweza kudai ardhi zake officially
  7. Last King of Zanziba

    Uchaguzi 2015: Mzanzibari kugombea Urais kwa tiketi ya CCM

    nkongu ndasu ikiwa znz ni nchi jirani basi itakuwa munatawaliwa na waalabu,
  8. Last King of Zanziba

    Uchaguzi 2015: Mzanzibari kugombea Urais kwa tiketi ya CCM

    Job K CMM wameshalipima joto letu, wanajuwa fika kwamaba watz hatuwezi kufanya chochote, kwahivo wanajuwa kwamba uamuzi wao ndio uamuzi bora kwa raia wote
  9. Last King of Zanziba

    Uchaguzi wa 2020: Mipaka ya Tanganyika na Zanzibar itakuwa hivi

    nngu007, hizo ni kasumba zilizowekwa kichwani kwako na CCM ili kuweza kukutawala kiuaini zaidi. Fukwe za Mrima alikodishwa Mjerumani na serikali halali ya znz. Ikiwa wewe umesomeshwa kurikiri zaidi ya hapo endelea tu siku utakayoanza kulipia kodi ya kuishi dar ndio utakajuwa uweli wa mambo.
  10. Last King of Zanziba

    Uchaguzi wa 2020: Mipaka ya Tanganyika na Zanzibar itakuwa hivi

    Gor, Mkuu ninakupa ahadi ukivunjika muungano, Tanganyika itakuwa landlocked country overnight, maudhi na dhuluma zote zinazofanyiwa znz na tanganyika zitajilipa. Tupo tayari kwa hilo na haturudi nyuma.
  11. Last King of Zanziba

    Uchaguzi wa 2020: Mipaka ya Tanganyika na Zanzibar itakuwa hivi

    nngu007 Mkuu unataka miwani au unajifanya kipofu, tu isome hiyo ramani halafu ujipatie jawabu lako
  12. Last King of Zanziba

    Uchaguzi wa 2020: Mipaka ya Tanganyika na Zanzibar itakuwa hivi

    Freeland, wewe unaonekana umesoma kweli, ninakuhakikishia, na uiweke barua hii, siku ukivunjika muungano, patishaka UN kuhusu mipaka. na hakuna mtanganyika anayethubu kusema neno kwasababu nyaraka za ukodishaji wa coastal areas ya mrima kwa mjerumani zipo. angalia patashika hiyo, mtwara...
  13. Last King of Zanziba

    Uchaguzi wa 2020: Mipaka ya Tanganyika na Zanzibar itakuwa hivi

    Kizmbuzi Lazima uone maengozi yangu pumba tupu, kwasababu uwezo wako wa kufikiri ni mfupi wenye dira ndogo sana,
  14. Last King of Zanziba

    Uchaguzi 2015: Mzanzibari kugombea Urais kwa tiketi ya CCM

    Mkuu, Ukiristo makanisani, Uislamu misikiti, hayo ndio mawazo halisi ya ccm. Usidanganywe na kuona zinga la sanamu la yesu katika ofisi ya pinda kule dodoma, kile ni kitega uchumi tu. na wale usidanywe na kuona misahafu katik ameza za waziri same deals ccm wanaangalia masilahi yao binafsi...
  15. Last King of Zanziba

    Uchaguzi wa 2020: Mipaka ya Tanganyika na Zanzibar itakuwa hivi

    Mkuu, Tukurudisha nyuma zaidi hautoipenda wewe, maana itabidi sisi wazanzibari tukutawaleni tena nyinyi watanganyika, itakuwa si jambo zuri kwenu au vipi
Back
Top Bottom