Recent content by Laser msera

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda?

    Biashara ya kukopesha watu pesa
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vyuo vinavyotoa Bachelor of Science with Education vyenye ada nafuu

    St Joseph university ada yake ni ya kawaida Kwa upande wa education kama vyuo vingne Vya serikali I mean 1.3M
  3. L

    JamiiForums Tanzania Update Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu!

    Me naona ukikosa mkopo kwenye batch zote ni vizuri we nenda chuo then subiri dirisha la kuaapeal ukiapeal lazma upate mkopo 100% maana Kuna baadhi uwa wanafanyiwa allocation lakini chuo awaendi either tuition fee walipata ndogo ivyo basi pesa ikiludi Kule bodi wanapewa yote waliokuwa wamekosa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Update Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu!

    Sisi kipindi tunaanza first year 21/22 rulipewa ada wengi wetu ilikuwa laki4 na mia5 hila ilivyofika mwaka wa pili semister 1 tukapewa Ada yote
  5. L

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga Chuo Kikuu Dar es Salaam

    Soma hapo
Back
Top Bottom