Recent content by laptop68

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wazee wameamua kuongea waziwazi sasa

    2015_21 mbona uliufyata?
  2. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi wanaCCM mnaelewa madhara ya mabadiliko madogo ya katiba yenu mlioyapitisha leo?

    Ndipo nilipoamini m ccm ni maboya yanashangilia kizwaswa bila kujua lengo ni kizimkazi kuteua watu wake
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki kutoa hifadhi kwa waumini wa Gwajima

    Hapo patamu chacha
  4. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanaopinga uteuzi wa Samia wataje wagombea wao ili tumpime

    Umechanganyikiwa.. Katiba inasemaje ikiwa rais aliyeko madarakani atafariki kabla ya kumaliza kipindi chake na inasemaje kuhusu makamu wa rais atakapokalia kiti cha urais pale rais atakapofariki kabla ya kutimiza miaka 5. Soma hivyo vifungu then rudi humu
  5. L

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole Agosti 2020 ulisema hadharani kuwa fomu ya Urais ni 1 tu ya Magufuli, kwanini isiwe 2025?

    Suala ni utaratibu. Huu utaratibu wa sasa una shida
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

    Kwendraaaaa huko. Magufuli alitaka wengi wafanye kazi kwa faida ya kikundi kidoogo cha kisukuma, nenda chato ndo utamjua nduli jpm
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

    Huyu ni mnafiki wa kutupwa. Magufuli ndo aloasisi utekaji na uuaji, ujambazi na unyang'anyi, chuki za kikabila na kidini pia Aliasing ukabila ndo maana wasukuma walitawala kila sekta, alituma watu kupita nyumba kwa nyumba usukumani kuulizia kama kuna mtu alosoma ili awape kazi wasukuma wenzake...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

    Ni KARMA. ALIKUWA ANAMFITINI SANA MAJALIWA IKAFIKA WAKATI MAMA AKATAKA KUMLA KICHWA MAJALIWA. MWISHO WAKE YEYE KALIWA.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Shekhe Mziwanda awa-challenge Wakatoliki kutoa rekodi za CCTV ili aliyemshambulia Fr.Kitima ajulikane

    We ni mwehu. Ni lini na wapi cctv camera zimeweza kusaidia kupatikana mhalifu wa tukio la kizani. Wewe na huyo shehe ubwabwa wote mko sawq
  10. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa akiaga Bunge

    Nikupe tuu taarifa. Yeye na ummy zilikuwa hazipandi. Ummy ndo alikuwa anamdharau na kumfitini hadi mama akamteua Dotto. Basdae mama alikuja kujua ni fitna pale alipotumiwa clip ya ummy akimsema bibaya mama na na akamtumbua ila tayari alishamteua Doto na hapo imani ikamrejea mama kwa Kassinu
  11. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa akiaga Bunge

    Kutumikia wananchi sii suala la cheo,
  12. L

    JamiiForums Tanzania Elewa vita ya Ndani ya Mbowe na Lisu ilivyozalisha No reform no election na kuzuia CHADEMA isishiriki uchaguzi

    Ndyo ukweli ila wewe jitahidi watu wasijue una mtindio wa ubongo
  13. L

    JamiiForums Tanzania Fumigation iliyopulizwa CHADEMA iongezwe, bBado kuna wadudu wanatambaa!

    Huo ni wehu, chama kimeanza kuoza na kinaliwa na funza.
  14. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina mwezi na nusu tu wa kufanya siasa!

    Kura yako haisaidii kitu. Mama mitano tena
  15. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Iwapo rais ataamua kuwasikiliza washindani wake kisiasa hana atakachopoteza sana sana atatambulika kama shujaa wa maridhiano na demokrasia

    Nafasi walipewa, Mwamba Mbowe akatumia busara zake kushiriki. Wehu Lisu na Lema kama kawaida yao wakaanza fitna kuwa mbowe analamba asali na ndo mwanzo wa kuvunjika majadiliano. Sasa wewe unataka mama awasikilize ktk nini au unataka wabebwe migongoni na kulambwa miguu. Wacha watandikwe za matakoni.
Back
Top Bottom