Recent content by Lapjuu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajitetea kukua kwa Deni la Taifa. Adai kuwa tajiri lazima ukope, kuwa na madeni sio dhambi

    Kwa serikali hii "trust no body" Nimeamini albadiri si kitu cha sport sport. Mfano wanakamata mifugo mbugani kisheria kama wanavyosema. Ikifa oh! iachieni. Ina maana hamkujua kwamba mifugo bila malisho itakufa?"Nchi wamekabidhiwa washamba"
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajitetea kukua kwa Deni la Taifa. Adai kuwa tajiri lazima ukope, kuwa na madeni sio dhambi

    Deni la bombardier limejumlishwa?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Usiogope wanavyomshangilia

    Kama huyu wa kwetu alivyofanya baada ya TL kushambuliwa.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kama mpaka muda huu Serikali Iliyopo Madarakani Haijakugusa Basi kutakuwa na tatizo..

    Imenigusa kwa kunichukulia mngese wangu bashite, Siku hizi kiboga sipati tena.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Serikali yawaadhibu mabosi 1595 kwa kusababisha kuajiriwa kwa watumishi hewa

    Single hii ni akapella, tuwatengenezee bit.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kila kitu upinzani tunakosoa, je ninyi CCM yapi mnamkosoa Rais au hajawahi kukosea?

    Labda uniambie ulishirikiana na Lubuva kuwabeba.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kila kitu upinzani tunakosoa, je ninyi CCM yapi mnamkosoa Rais au hajawahi kukosea?

    Ukiwa m ccm lazima uwe chizi. Unaweza hata kumuua babako anapoikosoa ccm.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Magufuli yupo likizo kijijini kwao Lubambagwe

    Mshamba=mahaba.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Magufuli yupo likizo kijijini kwao Lubambagwe

    Unajiaminisha pumba, hivi huunganishi doti kwanini bashite anautajiri wa ghafla na ndiye kipenzi chake. Je hawapo pamoja? Au unadhani ni mshamba ya pa unyeo?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Magufuli yupo likizo kijijini kwao Lubambagwe

    Kweli, maana kila akifunua domo kuongea ni uozo mtupu. Anaweza akaamuru krismas ifutwe.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa kushindana na Rais Magufuli kwa hoja, upinzani waja na mbinu za kuhujumu uchumi

    Anayewatuma watu kwenda kutibiwa. Unajua ukiwa mwongo jitahidi uwe na kumbukumbu.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa kushindana na Rais Magufuli kwa hoja, upinzani waja na mbinu za kuhujumu uchumi

    Adumu Jinga & Primitive Minded.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa kushindana na Rais Magufuli kwa hoja, upinzani waja na mbinu za kuhujumu uchumi

    Wanaoitetea serikali hii eidha ni wachumia matumbo au wanajitoa akili kumfurahisha mshamba juma pamba maharage.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Serikali: Trilioni 7.6 zitatumika kulipa mishahara ya watumishi! Trilioni 32.4 Kutumika katika bajeti ya mwaka 2018/19

    Akili zako na pombe zimelandana, mkafunge ndoa.
Back
Top Bottom