Kama vile
Ulishazaliwa wkt wa Yesu! Uliona mahudhurio! Enzi za Yesu uliona watu wakisombwa na malori kwenda kumuona! Kuna walokufa kw ajali wakienda kumuona! Usitulingashie Yesu na SSH, kamwe...
Kama vile ww ni mgeni Tz! Au hujui mtiririko wa vipaumbele vyao muhimu au hufatlii mambo yao na CAG!
Walixema zile 100bi/- ni za uchaguzi - endlea kufatlia utajua vipaumbela vikuu vinavyobadlika - tartiiib ...nk
Yye anaomba apelekwe huko juu wakamhukumu harakaharaka, wao wanaahrisha ahrisha, C wangeanza na lile kubwa kwanza!? Anyongwe tujue 1, kama kwl ametenda koxa. C haki itendeke? - hii maahrisho wkt kuna koxa kuu ni njia 2 ya kumtexa, na Dunia inafatlia!
Kama vile imefkia "point of no return" -...
Meona vym mblmbl vkchkua fom na viongzi wa ile tme "huru" wakikenua meno wkt wanazgawa nkaskia kichefchef. Kna vyama sjui vtatufikia - nadhani wataznguka wakitmia daladala au wataomba kura sehamu 1 wanapoishi wkt CCM ikiomba 100b/-. Ati demokraxia! Naona tjitayarishe, tutacheka xana mwk huu
Nixichokielewa ni kw nn kitu kidogo kama kuwa na tume huru ya uchaguzi kinaleta kgugmiz kias hicho - yaani kama vile hawana bongo zenye kufkir! Xaxa kama kuwa na marefa huru tu, inakua taabu, mashindano yatakuaje?! Tz tunyo kazzz ...dah!
Mambo mengine yanakufanya ucheke au upate kizungzungu. Yaani hawajui watu wana vipaji! Kwmb wanauza! Kwmb vipaji vina soko! Wao wanawatumia kila mara wanapokwenda kuuza sera zao! Kwamba uchoraji ni kipaji! Na kwmb mchoraji na mwandishi mzr anajikuta ana ajira! Kw mixingi hiyo sasa tutegemee...
La haulla! Wala hamuonagi haya! Mkt aunde tume ya kusimamia uchaguzi unaomhusu! Kwamba kw kua huko nyuma wapinzani walipata uwakilishi mkubwa uwe kigezo cha kuhalalisha kuendlea kw refa na ma linesmen alowachagua yeye wa mashindano yanayomhusu! What kinda thinking is this!! Naamini waTanganyika...
Kulishana matangopori tu! Inakuaje taabu kuunda Tume huru ya uchaguzi! WaTz wameonyesha kutoviamini hivi vitume vy mfukoni kutoka chama tawala, na wametamka wazi na CDM wamexema waazi NRNE ila bado waroho wa madaraka hawaoni mantiq. Wameshindwa kujifunza xomo doogo toka ule mgogoro wa Simba na...
Umetoka sayari ipi ndg! Kama vile hujui watawala wanaxema hii ni xerikali ya ccm! Na kila lifanywalo linafanywa na mm! - katoa hiki, kafanya kile, kafanikisha hiki na hiki, kila kitu ni mm! Viongozi wa tume ya uchaguzi wamateuliwa na nani? Katiba ya xaxa ya mwka gani? Asasi mblmbl viongozi wake...
Ndo yaliopo kichwani mwao. Lugha aitoayo huyu inaaksi yao wote waloko nyuma ya mama yao. Inaelkea jumuia yao imefanikiwa kutoa seminars kamili za lugha chafu kwani wote wanaposhindwa kujibu hoja wanaishia kwny kamusi ya lugha za aina hio, maskini Tz, tumemkosea nn Mungu!
Nite zangu niwe kama ninyi! Jua tu kuwa takwimu zenye kuaminika hutolewa na vyombo vyenye "uwezo na vyenye kuheshimika kimataifa" - sio kila ofisi inazo heshima hizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.