Recent content by Lamisele

  1. Lamisele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KERO Uchumi wa "Mr" umeyumba, nalea familia mwenyewe, maisha ni magumu sana, natamani kujiua

    Kosa ni kumlea lea huyo mdogo wako ajishugulishe alee wanae alafu kama wanasoma private toa peleka shule za serikali ishi kulingana na uwezo kwa nini ulazimishe kuishi maisha yasiyo yako kama kumuhifadhi ndugu yako sio kosa ila inapaswa na yeye abebe majukumu kuleana leana ndio maana unaumia...
  2. Lamisele

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anajamba jamba sana mpaka najiuliza kulikoni

    Anakula sana wanga ndio maana gesi inajaa tumboni wala hakuna tatizo lingine
  3. Lamisele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

    Yaa Hata hao unao ona mademu wa kawaida ndio wanaouza yaan hakuna unachoruka kwa dunia tulionayo kila mtu anauza kwa namna yake.
  4. Lamisele

    JamiiForums Tanzania Mtanzania, Subiro Mwapinga akabiliwa na Mashtaka Marekani kwa Mipango ya kusambaza Silaha za Kijeshi kwa genge la biashara ya Dawa za Kulevya

    Haya ndio madili ya kufanya wanaume,uza mchele upate bilion uone kama utaipata
  5. Lamisele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika: Niko njia panda, kila maamuzi ninayotaka kufanya naona yana athari

    Yaani kuna watu sijui mkoje unaomba ushauri jambo ambalo liko wazi huyo ni kuachana naye watoto watachagua wanakaa wapi unawahudumia wakiwa wakubwa utawaeleza ukweli,kuhusu mkopo silipi hata 100 mbovu nyumba wauze tu hata yeye si amechangia na biashara kafirisi yeye mimi naenda kuanza upya...
  6. Lamisele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitanda na rangi za chumba nilichoandaliwa ukweni kimenisononesha sana

    Unalalaje ukweni bro chukua chumba gest ulale nyumbani unaenda kusalimia na kupiga msosi labda kama uchumi hauko sawa unapaswa ulale nyumbani kwenu tu hata kama pakoje,mwanaume unalale ukweni.
  7. Lamisele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mdogo alipoteza ajira yake, akapata kesi, kafungwa jela kwa kukosa faini milioni 40 tu, huku ana watoto wakubwa aliowasomesha India na UK

    Liwe funzo kwako hasa kwa watu tunao amini sana kwenye elimu na kazi za kuajiriwa hapo ndio kuna changamoto hata mtoa mada kama hauta wekeza kwenye ujasiliamali na biashara kupata hiyo pesa gafla ni ngumu sana bora ufungwe tu maana kifungo kinaisha ila kujenga una miaka 60 ni uongo ni uamuzi wa...
  8. Lamisele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu demu wangu hapa home ananenepa ovyo ovyo nifanyaje kumdhibiti

    Kwanza hongera inaonekana unaishi naye vizuri hana stress mwambie tu afanye mazoezi apunguze misosi mwili upungue,hata ukitafuta mwingine atanenepa tu mtu anabadilika kulingana na umri na hapo hajazaa ataongezeka tu na kitambi lazima.
  9. Lamisele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Wanamuonea wivu anaolewa hawana lolote nani ambaye hafanyi chochote kwa dunia ya sasa.
  10. Lamisele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimsaidiaje mke wa mtu anayenyanyaswa na mume wake?

    Kijana hatuoagi kwa huruma.Hauwezi kujenga familia na ukoo wako kwa kumuonea mtu huruma,apambane na hali yake ndicho alicho chagua usije ukajichanganya,swala la kuoa kwa mwanaume ndio kitu muhimu na inapaswa kuwa makini sn baada ya hapo unakua makini kutafuta pesa kwa ajili ya kuhudumua familia...
  11. Lamisele

    JamiiForums Tanzania Dunia inaniadhibu, nahitaji kuchukua maamuzi magumu

    Ndio ukubwa pambana
  12. Lamisele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nipeni ushauri kuhusu huyu binti

    Wewe jamaa hizo ni changamoto za kawaida wewe hauumwagi acha utoto chukua kifaa namba E kabisa acha ujinga
  13. Lamisele

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislam matajiri wanapenda ibada kuliko wakristo waliofanikiwa kifedha?

    Shida yetu wakristo michango mingi makanisa
  14. Lamisele

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislam matajiri wanapenda ibada kuliko wakristo waliofanikiwa kifedha?

    Shida yetu wakristo michango mingi makanisani
  15. Lamisele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimuahidi mwanamke kumuoa wakati huna malengo naye

    Unamuona hafai kwa sasa ila utakacho kipata huko mbele baada ya kuondoka huyo dada ndio utajuta what goes around cames around,muoe huyohuyo ndio utaenjoy ndoa ila ukimuacha utakacho kipata itakua vice vesa,bahati huwa haiji mara 2 hasa ndoa na mahusiano mazuri.
Back
Top Bottom