Recent content by lake zone

  1. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Ninauza Toyota IST

    Picha zaidi za Gari hizi hapa
  2. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Ninauza Toyota IST

    [emoji120] [emoji120] [emoji120]
  3. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Ninauza Toyota IST

    Hapana mkuu, japo ni kiasi kikubwa niwie radhi mkuu, samahani sana
  4. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Ninauza Toyota IST

    Maongezi kawaida yapo
  5. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Ninauza Toyota IST

    Ninauhitaji wa Cash wakati huu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Ninauza Toyota IST

    Nauza gari yangu, aina ya Toyota IST, Cc 1200, yani mafuta kidogo umbali mwingi, Gari ni nzuri sana, nimeitunza vizuri sana, bei naanzia 8.8M, maongezi kidogo yapo. Gari ipo Mwanza, ni cheki kwa 0762845506
  7. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    Nahitaji IST nina M4 MFUKONI
  8. L

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba, ipo Mwanza maduka 9

    Ninauza nyumba ipo Mwanza maduka 9, maji na umeme vipo, nyumba ipo jirani na barabara kuu ya maduka 9 kiloleli. Bei naanzia 16 Milioni, maongezi kidogo yapo. Simu 0717072172.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuwashwa baada ya kuoga

    Hili limewahi kunitokea, lilinitesa sana kwa miaka mingi, nilepona kwa kuanza kuoga maji ya moto, kuepuka pombe, kuacha kula pilipili. Kama unatatizo la vidonda vya tumbo tafuta dawa yake pia, la mwisho na muhimu epuka vyakula vyenye Acid pendelea sana vyakula vyenye asili ya alkaline kama mboga...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja kiseke PPF

    Picha hizo hapo za kiwanja pamoja na Sketch
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja kiseke PPF

    Huduma zote zipo, kwa maelezo zaidi piga namba hapo juu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja kiseke PPF

    Habari, ninauza kiwanja hapa kiseke PPF jijini mwanza, kipo jirani na Tizeba, kina ukubwa wa Sqm 1340 bei milion 27. mawasiliano 0717072172
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tax Management Officers tupeane pole

    Maswali yalikuwa kutafuta total VAT walitoa mauzo ya miezi 6 the unatafuta tota VAT, stamp duty, penalty za tax kukwepa Efd na mengine siyakumbuki
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tax Management Officers tupeane pole

    Ndugu zangu poleni sana kwa paper tulilopitia la Tax Managemeng officers II, bado tunaendelea kukosa ajira kwa kuteseka na mitihani, hongereni kwa wote mliojiandaa vyema. Mungu atubariki sote.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi, anahitajika minning engineer haraka sana.

    Fibonacci njoo huku umalizane na jamaa
Back
Top Bottom