Habari wapendwa,
Poleni na majukumu ya maisha. Wandugu nisiwachoshe mwenzenu kuna mkasa umenipata yaani nashindwa kufanya maamuzi.
Stori inaanza hivi, mimi niliolewa na nikajaaliwa kupata watoto watatu wawili ni twins, mume wangu ni mkristo mimi muislamu.
Sasa wakati mume wangu ananioa...
Habari zenu wapendwa. Ndugu zangu naomba kusaidiwa kuhusu hyo shule nasikia ipo Morogoro lakini sifahamu ni sehemu gani hapo ilipo, ada bei gani, utaratibu wa kumpeleka mtoto pale kusoma upoje na huduma zake zipoje kitaaluma na kiroho?
Mimi watoto wangu ni mapacha wana umri wa miaka minne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.