Recent content by Lai leo

  1. L

    Naombeni msaada, mwenzenu napitia kipindi kigumu sana cha Msongo wa Mawazo

    Pole sana,toka hapo ulipo nenda katembee tembee,ukikutana na mtu mzima aliye kuzidi umri sana na ambae humfahamu kabisa mwelezee mambo yako yote kisha rudi nyumbani.Fanya hivyo mara mbili kwa wiki
  2. L

    SoC03 Tuamke tuchukue nafasi zetu

    Jamii inatarajia kuona maendeleo katika kila eneo hasa kwa vizazi vijavyo.Wazazi wanajitahidi kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora na mahitaji muhimu ya kila siku,hata wale wenye kipato cha chini hawako nyuma kuhakikisha watoto wao hawabaki nyuma kielimu. Katika ulimwengu huu wa teknojia...
Back
Top Bottom