Recent content by lagon

  1. lagon

    JamiiForums Tanzania KERO Kuchelewa kwa Madaktari kutoa huduma Muhimbili, wengi wanaanza kuhudumia wagonjwa saa 5 Asubuhi

    Nimekuwa nikihudhuria Muhimbili kwa takribani mwezi sasa. Ukweli wagonjwa wanachukua muda mrefu sana kumsubiria Daktari afike. Madaktari wengi wanaanza kusikiliza wagonjwa kuanzia SAA TANO asubuhi wakati kuna watu wamefika toka saa kumi na moja asubuhi. Nashindwa kuelewa wanakuwa wapi alafu ni...
  2. lagon

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali imenyamaza kimya?Huku Simba wana changisha??

    Unaulizia hisa 49 wakati kuna 51 huulizi?
  3. lagon

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna njia nyingine ya kupunguza Vitambi/Mafuta mwilini?

    Kama unajua hesabu vizuri 1+1 = 2 n.k fanya mazoezi unayoyajua wewe, kula madawa yote ujuayo ila ukishindwa kuwa na utaratibu wa kula KITAMBI hakiishi unapunguza kila moja unaongeza moja au zaidi , Na jamaa zangu wanakimbia 5-10km kwa wiki mara 3 mpaka 4 tatizo ni moja - BIA unakimbia 10km...
  4. lagon

    JamiiForums Tanzania Nani aliewahi tumia hizi dawa zikamsaidia kwenye matatizo ya uzazi?

    Mbona wanasema ni za asili kama za kwako tuu . Nasubiria wenye mtu alie tumia alete ushuhuda japo wengi ni waoga kuja kusema kusema ukweli hapa.
  5. lagon

    JamiiForums Tanzania Nani aliewahi tumia hizi dawa zikamsaidia kwenye matatizo ya uzazi?

    Naomba ushuhuda tafadhali, manake naona matangazo yake mengi sana kila kona.
Back
Top Bottom