Recent content by ladykims

  1. L

    JamiiForums Tanzania Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

    Mama wa nyumbani a namtegemea mume ampe hela kila siku kukinga mkono
  2. L

    JamiiForums Tanzania DJ Rommy Jones kwenye kashfa ya ubakaji Sweden

    Sidhani kama ni kweli maana wanasema huyo dada kila msanii anayeenda huko ndio tabia yake kusema kabakwa huyo dada ndio anawanunulia vinywaji na kila kitu,
  3. L

    JamiiForums Tanzania Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

    Dida kajibu hahahahahahahahahahahaha
  4. L

    JamiiForums Tanzania Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

    Hahahahahahahahaha ukimwambia ukweli unakulablock ya haja na vile vinguo anavyovyaa vya Bokhe
  5. L

    JamiiForums Tanzania Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

    Tatizo aliingia Marekani kwa fujo sana, akajifanya kila kitu anajua yeye. Mara dream house, Mara designer basi kufanya mashauzi tu yasiyokuwa na maana.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Paco Decor amefariki

    Kupunguza utumbo au tumbo? Kama utumbo it sounds so dangerous to me.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Sakata la Zari na makalio bandia

    Mie naona kama kanenepa
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wema na Idris ni wapenzi kweli?

    Kama siyo miguu na wewe una kasoro nyingine siyo lazima iwe miguu. Haijaniuma ila inauma mnavyojua kukosoa uumbaji wa Mungu hajajiumba kaumbwa
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wema na Idris ni wapenzi kweli?

    Zari kacheka
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wema na Idris ni wapenzi kweli?

    Mwacheni Wema na miguu yake hajajiumba hapo ulipo una kasoro zako pia
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wema na Idris ni wapenzi kweli?

    Hajajiumba kumbukeni hilo nyie wenyewe hampo perfect
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wema na Idris ni wapenzi kweli?

    Kwa nini topic ikiwa ya Wema lazima na Zari awekwe au topic ikiwa ya Zari Wema lazima awekwe? Topic inahusu Wema na Idriss
Back
Top Bottom