Recent content by lady mmarangu

  1. lady mmarangu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepigwa na upepo usoni nimepata na hali isiyoeleweka

    Kichwa ndo kinauma sana mkuu mpaka macho hayaoni vizuri
  2. lady mmarangu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepigwa na upepo usoni nimepata na hali isiyoeleweka

    Kwa nini nitumie sindano mkuu inasaidia nini ?
  3. lady mmarangu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepigwa na upepo usoni nimepata na hali isiyoeleweka

    Msahana jr unasemaje
  4. lady mmarangu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepigwa na upepo usoni nimepata na hali isiyoeleweka

    Yaweza kuwa ni nini boss
  5. lady mmarangu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepigwa na upepo usoni nimepata na hali isiyoeleweka

    Naamin wote mko salama kwa uweza wa MWANA WA MUNGU ALIYE HAI. Jana niliamka salama kabisa,nikatoka kidogo kwenda kutafutia watoto mboga,kufika tu kibandani nikapigwa upepo kidogo tu usoni , Nimerudi nyumbani naumwa usoni upende wa kulia kwa ndani,na nyuma ya sikio kama vile mishipa ndo inauma...
  6. lady mmarangu

    JamiiForums Tanzania Tatizo la muwasho wa sehemu za siri kwa mtoto

    Asante mkuu kwa ushauri wako
  7. lady mmarangu

    JamiiForums Tanzania Tatizo la muwasho wa sehemu za siri kwa mtoto

    Mtoto mdogo wa kike kuwashwa Seham zake za siri chanzo ni nini? Naomba msaada wenu wa haraka pls. Doctor aliyepo online msaada wako pls. Mtoto ana mwaka na miezi 7.
  8. lady mmarangu

    JamiiForums Tanzania Ubora na udhaifu wa suzuki jimny

    .nakaaa Arusha kitafika marangu?
  9. lady mmarangu

    JamiiForums Tanzania Mimba kutokukuwa

    Sawa mathika:tutafanya hivyo
  10. lady mmarangu

    JamiiForums Tanzania Mimba kutokukuwa

    Sawa mathika:tutafanya hivyo
  11. lady mmarangu

    JamiiForums Tanzania Mimba kutokukuwa

    Mathika" unaweza kuzunguka makanisa yote.
  12. lady mmarangu

    JamiiForums Tanzania Mimba kutokukuwa

    Kina uhai ila ndo hivyo hakuna mabadiliko mkuu
  13. lady mmarangu

    JamiiForums Tanzania Mimba kutokukuwa

    Akikaa nayo mpaka miezi tisa mwisho wake itakuwa nn mkuu?
  14. lady mmarangu

    JamiiForums Tanzania Mimba kutokukuwa

    Inaumiza sana mana anakaa akidhani labda itaanza kujua!
  15. lady mmarangu

    JamiiForums Tanzania Mimba kutokukuwa

    Majibu ya doctor ni kwamba itolewe,sa inakuwa ngumu kidogo mkuu
Back
Top Bottom