Tatizzo changamoto kubwa nataka nitoke hapa nyumbani pia mkoa niliopo kwa biashara hiyo bado ipo chini kutokana na mazingira pia hali ya hewa sio rafiki kivile mkuu
Habari za siku ndugu zangu pia poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa.....
Niende kwenye Mada binafsi mimi nikijana wakiume mwenye umri wa Miaka 26 ,pia nimuhitimu wa Chuo fulani Ngazi ya cheti katika fani ya Uongozi na usimamizi (public administration and management) mwaka 2018, Pia nina ujuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.