Uyoga mkavu,
-Loweka kwa muda then osha vizur alafu uchemshe kwa muda pia
Ukishachemka, epua kaanga kitunguu maji kicbadilike rangi sana then tia kitungu thomu na tangawizi mbichi iliyosagwa,
Then tia nyanya tungule chache kutokana na kiac cha uyoga wako, then tia nyanya ya kopo kiac pia, then...