Recent content by Labia Mapunda

  1. L

    JamiiForums Tanzania Madai ya sh 23,887,000 ya wafanyakazi wa kampuni inayotoa huduma ya chakula hospitali ya Mloganzila

    Tutashukuru sana 🙏 hivi vitu havikubaliki
  2. L

    JamiiForums Tanzania Madai ya sh 23,887,000 ya wafanyakazi wa kampuni inayotoa huduma ya chakula hospitali ya Mloganzila

    Mkataba haujafika mwisho lakini mwajiri na hospitali wanakamgogoro kuhusu malipo mzabuni anasema anaidai hospitali nao wanasema kuwa wanamdai mzabuni kwahiyo wafanyakazi Sasa hivi wapo tu wanaenda kazini na wengine wamejishikiza kwa mzabuni wa mda ambae anatoa huduma Sasa hivi kitendo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Madai ya sh 23,887,000 ya wafanyakazi wa kampuni inayotoa huduma ya chakula hospitali ya Mloganzila

    Wazo zuri nitawashauti maana pia wameenda mara kadhaa ofisi ya mkuu wa wilaya wamekosa msaada
  4. L

    JamiiForums Tanzania Madai ya sh 23,887,000 ya wafanyakazi wa kampuni inayotoa huduma ya chakula hospitali ya Mloganzila

    Hata kama mkataba haupo hivyo lakini mzabuni tayari anawaambia wafanyakazi kuwa yeye hajalipwa na hospitali na ndomaana nasema hospitali inawigo Moana sana wakuweza kuwasaidia hata kuwasemea tu sio kuwalipa
  5. L

    JamiiForums Tanzania Madai ya sh 23,887,000 ya wafanyakazi wa kampuni inayotoa huduma ya chakula hospitali ya Mloganzila

    Kwasababu haina usiri na ndiomaana hata jina la kampuni pia sijaficha kwasababu linatakiwa likemewe hili suala ili wafanyakazi wapate haki zao
  6. L

    JamiiForums Tanzania Madai ya sh 23,887,000 ya wafanyakazi wa kampuni inayotoa huduma ya chakula hospitali ya Mloganzila

    Hospitali inapaswa kumsimamia huyu mzabuni ili wafanyakazi wapate haki zao lakini imeshindwa kufanya hivyo
  7. L

    JamiiForums Tanzania Madai ya sh 23,887,000 ya wafanyakazi wa kampuni inayotoa huduma ya chakula hospitali ya Mloganzila

    Kabisa kaka yaani inahuzunisha sana watu wamefanyishwa kazi tena kwenye sector ya serikali na wanaanza tena kuteseka bila kulipwa inauma sana
  8. L

    JamiiForums Tanzania Madai ya sh 23,887,000 ya wafanyakazi wa kampuni inayotoa huduma ya chakula hospitali ya Mloganzila

    Mpaka kufikia hapo ninaridhaa na wamefuata taratibu zote lakini wamekosa msaada ndio maana tunatakiwa kupaza sauti wapate haki zao maana mzabuni anasema anaidai hospitali jambo ambalo wafanyakazi haliwahusu
  9. L

    JamiiForums Tanzania Madai ya sh 23,887,000 ya wafanyakazi wa kampuni inayotoa huduma ya chakula hospitali ya Mloganzila

    Tunaomba sana mtusaidie kupaza sauti hawa watu wapate haki zao.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waliosimama kama Mawaziri awamu ya Sita, Wengine hamna kitu kabisa

    Hakuna hata mmoja aliyelipwa kwasababu nmefuatilia sana hili suala
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waliosimama kama Mawaziri awamu ya Sita, Wengine hamna kitu kabisa

    Nimefuatilia hamna aliyelipwa hata mmoja
  12. L

    JamiiForums Tanzania Madai ya sh 23,887,000 ya wafanyakazi wa kampuni inayotoa huduma ya chakula hospitali ya Mloganzila

    Kuna wafanyakazi wanadai mishahara yao katika kampuni inayotoa huduma ya chakula hospitali ya Mloganzila shilingi 23,887,000.00 na uongozi wa hospita umeombwa msaada mara kadhaa lakini hawajatoa ushirikiano wowote na kitendo hichi kinaichafua hospitali hii kwasababu ni ya Serikali na mzabuni...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waliosimama kama Mawaziri awamu ya Sita, Wengine hamna kitu kabisa

    Tunaomba msaada kuna wafanyakazi wanadai mzabuni anaelisha chakula hospitali ya Mloganzila shilingi 23,887,000 lakini mpaka sasa hivi wameomba msaada kwa uongozi wa hospitali mara kadhaa lakini hawajapata haki zao.
Back
Top Bottom