Recent content by LABAN

  1. L

    Community airlines ni ya nani?

    Kama ni kweli napenda kumpongeza muheshimiwa Diallo kwanza anaonekana ni mjasiliamali kwelikweli na anaona mbali. Ni opportunuty kuanzisha safari hizo za ndege later anawezakufanikiwa kushindana na airline kubwa kama emirates,klm, etc. Lakini ktk ushindani huduma za ndani ya ndege ni muhimu sana...
  2. L

    JK mawaziri wawili wanatuchefua unaweza kuwafanyia namna????

    Naunga mkono kwa huyu Mr chenge nafikiri raisi amuangalie vizuri lakini huyu Engineer tunahitaji uthibitisho zaidi kaka.Balaza sio baya lakini ukiangalia kwa makini bado kuna harufu ya kulindana. Tatizo vijana wenye uchungu na taifa hawataki kujiunga ktk siasa hivyo kumfanya raisi akose...
Back
Top Bottom