Wale walo enda shule naombeni kuwaulizeni swali nini maana ya dasi dasi urukia dasi katika mdwara wake wale washule asa asa naomba mshana nijibu ukipatia narudi shule
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukeli najua kusoma nakuandika ila shida bado sijui ku chat na simat phon laki so shule mnisaidie to kama kuna uwezekano nakama amuna safitu nitafute pengine wanasema alioko juu mngoje chini lakini mimi sikutaka ku wangoja chini ndomaana nimewafata juu tufundishane tu waungwa
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.