Kwa kweli Nyerere alikuwa na Mapungufu yake lakin aliipenda Nchi toka Moyoni, aliichukulia hii nchi kama Mji wake, kama familia yake!, huwezi inyonya familia yako, tofauti na viongozi tulionao hvi sasa ambao wanaamin wamekabdhiwa tu na Mwenyewe ambaye muda si muda atarudi!
Haya basi, twambie na wew tangu sekta ya Madin ianze kufanya Kazi Tanzania una nn cha Kujivunia?, Mwl. Nyerere aliona tofauti ya Kuchmba wenyewe na kuchimbiwa!, Ushaona wapi Mpangaji akaanda Mkataba?, Mali yakwetu lakin tumwekewa Masharti!, kwa hilo la Madini Mwl. Nyerere aliona mbali sana...
Habari,
Kwa mara ya Kwanza ndani ya JF, naomba mnieleweshe juu ya Ongezeko la Serikali Kuu katika kila sekta, Mi niko Sekta ya Madini, Nafanya kazi katika Kampuni moja ya Kuchimba Dhahabu Kahama, hawa jamaa wamekataa kuongeza hiyo asilimia kwa maelezo kwamba Hawahusiki na hilo ongezeko kwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.