Mie naunga mkono hoja hata aongoze Mara tano na zaidi hadi Mungu atakapo muita . Kwanza na u haguzi Wa Rais ufutwe gharama za uchaguzi zihamishiwe kwenye miradi ya maendeleo . wabunge kushuka chini huko ndo tuendeleze chaguzi
Chuo chenu ni cha ufundi . Sasa mnasoma elimu gani msiyoweza kuitumia hata kukarabati mota zinazoaribika ilo jamani si la magufuri. Ila akili zenu wanafunzi zimeganda . Ovyooooo! Inabidi mleta mada ufukuzwe chuo kwa sababu hujui unachotakiwa kufanya kwa elimu unayoipata shwaini
Unachoandika hapa ni u honganishi . Anapoigusa bandali amegusa taifa zima . anapojenga barabara dar es salam ameijenga Tanzania . Kujenga nchi lazima uwe na stating point . fikiria kw a mapana .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.