Habari wana jf
Nimekuwa nikijikuta katika hali ambayo sijui kama ni kwangu binafsi au kuna wengine pia wanai-experience.
Nikiwa msalani (chooni/maliwatoni) kujisaidia haja kubwa aka kukata gogo,nje ya shughuli yenyewe ya kujikamua(kama ujuavyo ugumu wa kukata gogo kwa most of Africans) basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.