Recent content by KYOMA OMU BAHAYA

  1. K

    Wataalmu wa afya ya kinywa naomba mnisaidie hili tatizo ambalo limenisumbua kwa mda mrefu.

    Ndugu wadau, mimi binafsi nimekuwa na tatizo la kinywa, kwa hiyo ninaomba kama kuna mtu ambaye anajua na amewahi kukumbana na hali ambayo mimi nimekumbana nayo basi naomba ushauri au tusaidiane. Tatizo ni hili, kwamba pindi nikiweka chakula chochote kinywani huwa ninasikia maumivu au reaction...
  2. K

    The first impression we get from a person we meet for the first time can be called a" promotion"

    It's very surprising that in our every day living we do meet people of different kinds, of different personalities, and as well as of different identities. However, with these differences is where we find our selves trapped to make a relationship whether be a normal relationship or a close...
  3. K

    Tuangalie askari police watoavyo ushuhuda kwenye vyombo vya habari baada ya matukio ya uharifu

    Kwa mda mrefu, binafsi ningependa kwanza kulipongeza jeshi la police kwa kazi nzuri ya kulinda wananchi na mali zao. police wamekumbana na changamoto nyingi sana hasa katika kupambana na waarifu wa aina mbalimbali hapa nchini ili kuhakikisha kuwa amani inakuwepo nchini. Hilo kwa kweli yabidi...
  4. K

    Pd Karugendo: Kwanini waliitaka sauti yangu?

    Padre Karugendo anachosema mimi ninaona hajakosea hata kidogo, nyie mnasema kuwa padri ametumia lugha kali kwa vijana!!! Kumbuka pale yesu mwenyewe alivyokuta hekalu limegeuzwa mahala pa kubadilishia fedha, nini kilitokea kwa wale waliokuwa wanafanya biashara na kubadilisha fedha??? sinikwamba...
Back
Top Bottom