Recent content by kyler

  1. kyler

    JamiiForums Tanzania Mange huko insta kuhusu CHADEMA na urais

    What made lowasa to shift? Ni baada ya kuujumiwa. Hata we mangi pmja na wengine hukiona sehemu hawakutaki na hawakukubali en a analysis appoint what would you do Kama sio kwenda kwa wanaokuamini
  2. kyler

    JamiiForums Tanzania Aunty Ezekiel: Nimezaa na Mose Iyobo lakini ndoa yangu ipo palepale

    Aisee aisee aiseeeeeeeee jmn aiseeeeeeee. Jmn narudia aiseeeeeee
  3. kyler

    JamiiForums Tanzania Waganga wajitolea kumtibu Wema Sepetu

    Wema sijui anachoharakia ni nn jmn. Mbona she is still young jmn. Asijali atapata tuu mtoto. Watu wanazaa wakiwa na miaka 40 jmn mbona bado. Yeye anachotakiwa kufanya nikupotezea tuu hiyo kitu. Na kuisahau akili ni mwake. Atashangaa siku kina nasa tu unexpectedly yaan hivyo. Atoe hayo mawazo...
  4. kyler

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona wasanii wanapenda sana kuandikwa magazetini?

    Its part of publicity sio mbaya. The more wanavyoandikwa the more we notice them. Very normal
  5. kyler

    JamiiForums Tanzania Mengi: Kwanini nimemuoa K-lynn

    Koz mengi ni type ya mwanaume ambaye ana hela rafiki Mkubwa Wa mwanamke. So anaitumia. So mwanamke ampi shida akizingua anakudelete halafu mwanamke kuachwa na mengi lzma ujutie hiyo chance uliyoipata ukaichezea. So kyln alishaambiwa how huyu mtu alivyo soooo lzma ajitulize na awe mpole. Mapenzi...
  6. kyler

    JamiiForums Tanzania Mengi: Kwanini nimemuoa K-lynn

    Jmn mapenzi ni upofu. Mapenzi ni ujinga na mapenzi ni kila aina ya kituko. Kyln jmn katika akili ya kawaida kuna vijana wangapi saiz yake na walipropose na wakataka kumtuliza. Mbona hakuwaona hao na kuamua kusacrifise happiness yake na Uhuru wake wote kwa mengi a man enough to be her dad. Ni...
  7. kyler

    JamiiForums Tanzania Baada ya kujifungua nje ya ndoa, mashabiki wamvaa Zamaradi

    Warumi kama wewe ni mwanaume. Basi ni mnafki Mkubwa. Kwa VP nakuita mnafki ila unisamehe bure. Mwanaume siku izi hayapendi kuoa. Umri Wa kula unafika hawaoi halafu wanawachezea wadada wakimaliza wanaacha. Au wanaahaidi kuwaoa unakuta umri mtu unakwenda haolewi tuuu. Sasa afanyeje. Ni kheri...
  8. kyler

    JamiiForums Tanzania Wajue Masupasta 10 waliofariki kwa ugonjwa wa UKIMWI

    Mie ndo na mawazo kama yako. Na hapa anlidhani ni ya bongo kumbe mbele. Hata simjui hata mmoja
  9. kyler

    JamiiForums Tanzania K-Lyinn amfunga mdomo Zari kwa Pesa

    Warumi katika ubora wake haya bwana
  10. kyler

    JamiiForums Tanzania Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

    One thing I want to tell you ni kwamba. Kuna watu wapo so talented kwenye kuongea. Na wana penda kutumia hicho kama mechanism ya wao kutoka kimaisha. Its simply what bikira is doing. Yeye hana anachokijua zaidi ya kumpliment idea za watu na kuziweka kwenye literature. Koz anajua kuandika ukawa...
  11. kyler

    JamiiForums Tanzania Kanye West aanzisha Biblia yake, ajiita Mungu

    So truee
  12. kyler

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

    Warumi u are one of this pple ambao no matter nipo wrong au vp nitasimamia uongo wangu. Jide alikuwepo kwa wakati wake na she did great. Aliinua watu kimziki akafanya yake na akatambulisha mziki kitaifa. Na kimataifa. Ametuwakilisha vzr sana. Na she is talented. Ana msimamo anajielewa. Na...
  13. kyler

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

    Alichukua mwaka Jana ya kili awards
  14. kyler

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

    Kiukwely jide kafunikwa saiv kimziki. Na nikwasababu amevurugana tu kdgo na ruge. Some how imemshusha flani. Ingawa sio saaaaana kiwastani tuuuu. Vanessa ni star. I support aliyesema kwamba mziki wake unaoneshwa sehemu nyingi ukilinganisha na jide. Na anajua kuimba whether you like it or not...
  15. kyler

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Mbasha Afunguka sakata la Gwajima katika Twitter

    Worry not love yupo pmja
Back
Top Bottom