Habari zenu wakuu,
Nimechaguliwa kwenda chuo Cha ufundi Arusha (ATC), sasa nilikuwa naomba muongozo nini cha kufanya kwasababu nimeingia kwenye website yao siielewi.
Napiga simu haipokelewi. Nilikuwa naomba msaada wenu
Nilikuwa naomba msaada kati ya Mechanical na electrical engineering ipi nisomehe kwa ngazi ya diploma ambayo Ina uwanja Mpana wa ajira au kujiajiri kwa sasa??
Naombeni msaada nataka mnisaidie kuchambua kati ya Mechanical na electrical engineering ngazi ya diploma kwa sasa ipi inalipa? Na urahisi wa kupata ajira??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.