Recent content by Kyindokyakombe

  1. K

    Mkuu wa mkoa wa Arusha kwa hili tafuta njia ya kukimbia mji

    Nimetizima clip ya mkutano mzima nimebaini hakukuwa na sababu ya kuwapiga mabomu wale wanafunzi kwani mkuu wa mkoa alitoka pale vizuri ijapokuwa kuzomewa kulikuwepo sasa iweje tena mabomu yapige kama si kutumia KODI zetu vibaya.Na je suala la aliyefiwa ndo MUUAJI hatafutwi ila ISHU sasa...
  2. K

    LEMA anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa faida ya nani?!

    Ni KWA FAIDA YA JIMBO LA ARUSHA NA WANANCHI WAKE NA SI WEWE WALA CCM
  3. K

    Ushauri: CHADEMA mshukuruni RC Mulongo wa Arusha

    Sasa tumejua CCM na SERIKALI yake ni magaidi na wanachokifanya ni kuwanyima watanzania UHURU na UELEWA.Wanataka watunyanyase tusiwe na mtetezi.Hongera lema.
  4. K

    Lissu, Wenje, Sugu, Msigwa, Kiwia kuunguruma Mwanza, Iringa na Mbeya (soma ratiba)

    Kazi ni nzuri makamanda msiyumbishwe tupo pamoja mpaka CCM ife.
  5. K

    Full Text: Hotuba ya Prof. Kahigi iliyozua mjadala bungeni hadi bunge kuahirishwa...

    HOTUBA ya makadirio ya ofisi ya RAIS UTUMISHI
  6. K

    Full Text: Hotuba ya Prof. Kahigi iliyozua mjadala bungeni hadi bunge kuahirishwa...

    Kama hawatakubali isomwe kama ilivyo bila marekebisho bora isisomwe kabisa.
  7. K

    Full Text: Hotuba ya Prof. Kahigi iliyozua mjadala bungeni hadi bunge kuahirishwa...

    Kama serikali wataendelea kupinga HOTUBA isisomwe basi iachwe ili tuweke REKODI ya kukataa kuburuzwa tukiridhia leo na siku zijazo watakuwa wanawapangia cha kusema bungeni pia.
  8. K

    BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

    Mimi nimelisikia pia tumesononeka sn pia tumeshangwazawa na spika kutomchukulia hatua sijui hii nchi inaenda wapi ndg zangu AIBU AIBU wtz wenzangu.
  9. K

    WATANZANIA Sasa SI MUDA wa KUSIKILIZA POROJO ZA CCM na SERIKALI

    Mtz yeyote mzalendo na anayeona mbele kuhusu hatma ya nchi yetu sasa tambua huu si muda wa kupumbazwa na harakati za CCM na SERIKALI yake za kutudanganya kwa kupika uogo wa kuwazushia wazalendo wa nchi hii mambo ya uongo.Wanawalenga WAANDISHI WA HABARI,WANAHARAKATI MBALIMBALI na sasa WAMEELEKEA...
  10. K

    Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

    Nadhani mkasa huu unaenda sambamba na article waliyoiandika gazeti lake la MTANZANIA kuhusu chuo kilichojengwa Ukerewe alichodai kinaendesha mafunzo ya kigaidi.Yeye akiwa ni MHARIRI MKUU wa gazeti hili.Bila shaka kile alichoandika hakijawapendeza wasomaji hasa walioguswa na habari ile.
  11. K

    Vurugu Dumila: Polisi watumia Nguvu, barabara yafungwa kwa muda!

    Kumetokea kutoelewana kati ya wakulima na wafugaji baada ya mkuu wa wilaya kuwapa wafugaji haki ya eneo hilo na kuwataka wakulima waombe radhi kwa wafugaji. Pia kwa sasa wananchi ndo wanaelekea kituo cha polisi.
  12. K

    Vurugu Dumila: Polisi watumia Nguvu, barabara yafungwa kwa muda!

    Kuna maandamano yamefanywa na wananchi eneo la Dumila. Chanzo ni mgogoro kati ya WAKULIMA na WAFUGAJI. Makazi ya wafugaji yamechomwa moto. Mpambano unaendelea wananchi wamebeba silaha za jadi wanaelekea kituo cha POLISI. Wananchi wakulima wanamtaka Mkuu wa Mkoa wa Morogoro (Joel Bendera)...
  13. K

    TBC ni chombo cha serikali au ni mali ya CCM?

    TBC ni tv ya kuwapumbaza Wtz tangu Tido aondoke imeuzwa au kukodiwa na CCM.Mshana anasubiri atapewa Ukuu wa wilaya.
  14. K

    Kinana, campaign manager aliyeshusha kura za Kikwete kwa 20%, Je kuipandisha CCM?

    KINANA ndiye aliyekuwa MKUU WA MKOA wa ARUSHA kipindi hicho.
  15. K

    Kinana, campaign manager aliyeshusha kura za Kikwete kwa 20%, Je kuipandisha CCM?

    KINANA ndiye aliyehusika akishirikiana na marehemu ABUBAKARI MGUMIA aliyekuwa waziri wa maliasili kipindi hicho kuuza LOLIONDO KWA WAARABU wakishirikiana na RAIS wa kipindi hicho mzee MWINYI.Tusidanganyike.
Back
Top Bottom