Ni kweli T.R.A wana ukakasi mkubwa kwenye kukadidia kodi . Wee kama huna unayefahamiana naye kodi itapanda mara dufu kila mwaka na adhabu zisizo na tija. Lakini ukitoa chochote yatapanda kidogo sana au yasipande kabisa. Na mbinu wanayotumia wanakuwa na watu wao nje ya ofisi kwa kwa hiyo ndio...
Ukweli hakuna kitu kinachonikwaza na kunikera kama barua za kizungu mnazoniandikia kuhusu masuala ya biashara . Si kwamba wote tumesoma na isitoshe hiyo si lugha ya Taifa . Yaani napata adha kubwa kila nipatapo barua zenu kuangaika kutafuta mkalimani. Hii imekuwa kasumba yenu hata katika...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.