Wakuu nina changamoto inanisumbua.
Maumivu wakati wa kujisaidia & baada ya kujisaidia haja kubwa. Kuna Kama michubuko kwenye njia husika inayopelekea maumivu makali.
Miwasho haipo ila ni maumivu makali, hata kukaa kwenye kiti ni maumivu tuu. Mimi ni Dereva saizi ni wiki moja kazini sijaenda...
Habari za Mida Wakuu.
Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo
( yaani Kama kunakitu kimeganda)
Sipati maumivu yoyoe wakati wa kula, Nameza vizuri tu
Naombeni Ushauri nitumie Dawa Gani au nifanye nini?
siipendi hii Hali
Updates!!!!
Mimi sio mtu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.