Recent content by KyelaBoy

  1. K

    Nauza camera Canon 600D

    Nauza camera aina ya Canon 600D imetumika mwaka mmoja na mtumiaji ni mimi mwenyewe,ilinunuliwa mpya,ni moja ya camera nzuri na za kisasa kwa wale wanaoanza photography kwa ngazi za entry level,pia hutoa video nzuri sana,package ni Camera Canon 600D pamoja na Kit lens EFS 18-55mm,CD zake ,manual...
  2. K

    Natafuta Canon 50mm F1.8 lens au Yongnuo 50mm 1.8 lens (Nifty Fifty Canon mount)

    Nahitaji lens aina ya Canon 50mm F1.8 au Yongnuo 50mm F1.8 (Canon mount),iliyotumika kidogo lakini ni nzima haina scratch/mikwaruzo wala fungus,nipo Dar Es Salaam,Mob 0655 585 490,ukiwa nayo ni sms au ni PM na utoe bei elekezi.
  3. K

    Nauza Samsung Slimfit TV 30''

    Je fikiria ningekuuzia wewe na tukawa tumemaliziana kila kitu ,halafu baadaye narudi tena na kusema hebu nipe hicho kitu changu kuna mtu kapanda dau,je utanielewa kweli au utanipa,jibu unalo mwenyewe .
  4. K

    Nauza Samsung Slimfit TV 30''

    Tayari imeshauzwa asanteni
  5. K

    Nauza Samsung Slimfit TV 30''

    Picha mbona ipo angalia vizuri
  6. K

    Nauza Samsung Slimfit TV 30''

    nNauza Samsung Slimfit (chogo)TV TZS 300,000.00 tu ,mawasiliano 0655 585 490 nipo Dar Es Salaam.
  7. K

    Samaki huyu ana jina maarufu sana,ambalo mtu akikuita lazima urushe ngumi anaitwaje,pia ni mtamu kum

    Kweli ni Changudoa ni ukoo mmoja na samaki Changu,ambao nao wameadimika siku hizi
  8. K

    Ua jekundu

  9. K

    Ua jekundu

  10. K

    Ua jekundu

  11. K

    Hapa ni wapi?

  12. K

    Msasani Slipway Usiku

Back
Top Bottom