Recent content by kyazi kyankolongo

  1. K

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Dawasa muwe kama Tanesco, Wao kwenye Uzi wao wanatokea na kujibu hoja mbalimbali wanazoulizwa na wananchi. Badilika.
  2. K

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    NARUDI TENA HUMU KUJUA KAMA DAWASA WAPO HUMU KWELI? KWELI NINYI NI UNTOUCHABLE. NGOJA NA SISI TUSUBIRI MTETEZI WETU ATATOKEA TU.
  3. K

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Mbona hatuoni majibu ya Dawasa humu? Au ndo kusema shirika ili la umma halina mpango na wananchi? Ilani ya CCM kweli itatekelezeka kama watendaji ndo hawa?
  4. K

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    TATIZO LA KUVUJA KWA MAJI. Eneo la Mbagala Kiburugwa kuna visima vya Maji vilichimbwa na Dawasa kikiwemo kisima namba 1. Pamoja na kupata Maji ya kutosha lakini kuna tatizo la mabomba kuvujisha Maji na tatizo hili siyo la mwezi mmoja ila ni miezi mingi bila kupata ufumbuzi. Ukitoka mashine...
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sasa kwanini umeme ukatike kila siku ya Ijumaa muda huo wa saa 2:30 usiku? Kwa hiyo hitilafu unakuwa tu ifikapo Ijumaa saa 2;30 usiku? Kukatika kwa umeme eneo la Mbagala kiburugwa kwamba ni hitilafu sikubaliani na Maelezo haya. Hizi hitilafu zinasubiri ifike Ijumaa? Tunasubiri tena wiki hii...
  6. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni wape hongera kwa kazi kwa wale wanaotimiza.majukumu Yao.Ningependa kujua kwanini maeneo ya Mbagala Kiburugwa tuna mgao kila siku ya Ijumaa mara tu ifikapo saa 2:30 usiku? Kwani hivi ni miezi miwili na nusu imepita mara tu ukifika muda nilioutaja Umeme unakatika kwa muda wa saa tatu.
Back
Top Bottom