Shirikisho la soka la kimataifa FIFA litamtuma afisa wake anajeshughulikia wanachama bwana Primo Corvaro
kuja nchini pamoja na ujumbe wake ili kusikiliza pande zote zinazohusika na mgogoro wa uchaguzi TFF ulioibuka baada
ya kuondolewa majina ya baadhi ya wagombea kwenye nafasi mbalimbali za...
Urais wa TFF haupatikani kwa njia ya guess work za jf ni wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF tu ndio wenye maamuzi ya mwisho tarehe 24/2/2013 .Ubashiri wa aina yeyote hauna maana hata kidogo.
kwa bahati mbaya inaonekana kinyerezi hupajui naomba jaribu kuuliza watu wanaopajua ili upate kujua ni sehemu ya namna gani, maana nimeona umetaja kigamboni sasa ukilinganisha na kinyerezi siku ukijua pakoje wewe utashangaa sana.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.