Recent content by Kyalangeta

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la nyongeza ya 23.3% ya mishahara ya watumishi wa umma: TUCTA na serikali wanajadiliana nini katika hatua hii?

    Nasikia kiasi kikubwa cha fedha iliyotengwa kwa ajili ya bajeti ya mishahara kimeelekezwa kwenye majeshi yetu, ukitaka kuthibitisha hilo, kwani umemsikia hata mwanajeshi mmoja akilalamika kuhusu hiyo nyongeza? wao wameongezewa cha kutosha wako kiiiimya!!!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wachemka tena, wapeleka barua ya hukumu kusiko

    Mtoa post na watu wengine wa namna yako jaribuni kukaa kimya kwanza kusubiri wanaojua mambo wacomment kwanza na hivyo kuficha ujinga wenu kwenye public. hivi unavyosema wamekosea kumpelekea spika barua eti wangeipeleke tume ya uchaguzi! nani alikwambia ile kesi iliyokua mahakamani ilikua...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Prof. Assad: Hatutaki Rais anayesikiliza kila mtu na la kila Mtu!

    Ni wapi ambapo Prof.Assad amesema Katiba mpya imlazimishe Rais kufuata ushauri wa kila mtu? hiyo ni dhana yenu hasi ambayo mmeijenga dhidi yake na hasa Sukuma gang ambao mnaona Prof. ni mwiba kwa matendo ya hovyo aliyoyafanya "Mwenda zake"
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais asipofanya haya, ataendelea kukopa mpaka mwisho wa Utawala wake

    Mtoa post umeenza vizuri kwa kutaka kumshauri Rais SSH namna ya kuwa sio tegemezi wa mikopo ya Nje Lakini ulivyo anza kumlinganisha na mwenda zake! nikaona wewe hukuwa na lengo la kumshauri bali ni kuendeleza ushabiki wako kwa 'Mungu' wako Mwenda zake. Hivi kweli wewe bado hujagundua kwamba...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapinga ripoti ya UN ya Tume ya Haki za Binadamu

    upuuzi kama upi mkuu? ebu cite hata upuuzi mmmoja halafu wewe utoe maelezo ya kujibu upuuzi wa Lisu kwa maelezo yaliyo sahihi sanasana mtaishia kuongea kijumlajumla bila kutoa majibu!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Rais ndiyo Nembo

    unayejua kilichotakiwa kuongelewa si utupe maelezo basi! inawezekana na wewe hujui ulichokiandika ila ulitaka uonekane umejibu tu!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Wakimaliza ya kwenye simu, watahamia Hospitali, Mikopo yetu. Toba zetu na vitubio havitakuwa siri tena

    Hivi huku kutkanwa mkuu wa Nchi naona kunazungumzwa sana na hata viongozi wengine wale mihemko wameingia kwenye mtego huo huo! nimeusoma ule waraka wa kina Mzee Makamba na Kinana na kuurudia mara nyingi tu sijaona mahali popote walipotoa hata tusi moja si kwa huyo Musiba wala Kiongozi yeyote...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kinachomponza Prof. Palamagamba J.A.M.Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Mtoa post umejaribu kutoa maelezo marefu eti kutaka kutetea upuuzi wa Kabudi wakati inawezekana wewe ndio una ufahamu mdogo wa kuweza kupambanua maelelezo ya kujidhalilisha ya huyo prof. wako. hivi kwa akili yako Uprof. wa chuo kikuu ni nafasi ndogo kuliko uwaziri? kwa kipi? mshahara...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Fulana ya Rose Mboma imenikera - kampeni kabla ya 2020!

    Mimi nadhani waliomkamata na wewe uliyekereheka na hayo maandishi kwenye T-shirt ndiyo wenye mihemko isiyo na simile, hivi Rose Mboma kawaambia atamchagua Membe 2020 kuwa nani wake? mnaanza kuwa waoga hata unyasi ukiwagusa mnaruka mita 100 kuogopa mkidhania nyoka !!!!!
Back
Top Bottom