mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,047
- 1,503
- Thread starter
- #61
Mbona kuna watu mpaka sasa wanavaa zilizoandikwa CHAGUA MAGUFULI? Halafu wewe kwanini ukereke wakati hayo ni maoni na uchaguzi wake binafsi? Yeye kaandika NITAMCHAGUA MEMBE kwa maana ya yeye hajasema CHAGUA MEMBE.
Hao ni waliovaa fulana za mwaka 2015 (watunzaji) - kwani wapi wamevaa fulana za kuchagua Magufuli Mwaka 2020?