Recent content by Kwitululu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT Makongoro, Furahisha Mwanza lafanya ibada ya kumuombea Freeman Mbowe, wafuasi wa Chadema wafurika

    Haha. Pala Kimara aliletwa Mchungaji siyo mchanga. Wachaga wote wakagoma kutoa sadaka.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT Makongoro, Furahisha Mwanza lafanya ibada ya kumuombea Freeman Mbowe, wafuasi wa Chadema wafurika

    Kwa nini maaskofu wengi KKKT ni wazaliwa wa Kikimanjaro
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

    Tulia wewe. Serikali imeona hakuna hitaji la kupanua chuo husika kwa Sasa bali kurelocate period.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

    Wapi. Zama zimechenji mzee zama za kurundika taasisi za umma Moshi zimeisha. Sasa ni zama za even development. Njombe inaongoza kwa mistu East Africa lakini wajanja wakapeleka chuo kwao.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

    Kuna mikoa haina taasisi ya umma hata mmoja. Sasa mikoa iliyorundikiwa taasisi itulie kwanza.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

    Kwa hiyo unaona sawa mikoa mingine kutokua na taasisi za umma. Chuo Cha Wanyamapori Ushirika, FITI na makumi zaidi Moshi. Mikoa mingine inachekwa tu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

    Hujui lolote. Hifadhi ya Mt Kilimanjaro hakuvunwi miti wewe. Miti kwa wingi inavunnwa Njombe naTabora huko ndiko chuo hupaswa kuwepo. Mangi usipende kufaidi kwa mitelemko
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

    Wachaga walipeleka fursa zote kwao.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

    chuo kujengwa Moshi lilikua kosa. Misitu iko Iringa chuo Moshi. Mi naona Mhe analekebisha makosa. Ili kurahisisha ujifunzaji.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Waasi wa Tigray wapuuza usitishaji wa vita wa Ethiopia

    Haha. Ideally. Lakini practical imeleta vurungu sehemu nyingi Africa. Huwezi kuwa na autonomy goverment Africa utegemee utulivu. Jimbo lazima litakua na ukabila pia. Huwezi tenganisha Jimbo la Ziwa na Usukuma mathalani. Jimbo linaweza kuja na bylaw mfano Ethiopia Oromia in by law Kila kampuni...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Waasi wa Tigray wapuuza usitishaji wa vita wa Ethiopia

    Pole Boss. Nawaza Sera ya Majimbo Ya CHADEMA. Ingetawala Tanzania, Sasa hivi tungekuwa na majeshi ya Majimbo. Huko Nigeria pia majimbo yanatafunana.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waasi wa Tigray wapuuza usitishaji wa vita wa Ethiopia

    Kama unasimanga kabila fulani hiviTanzania
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanachadema wanalamikia teuzi za Wakuu wa Wilaya?

    Chadema ni haters.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mchekeshaji Mchopanga na Nyota ya Rais Zelensky wa Ukraine

    Shida ya upinzani Tz hasa Chadema wamejaa haters
  15. K

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuichafua oil chafu, itakuchafua. RIP Dkt. Magufuli

    Naona kuna oparation ya kumchafua Rais Magufuli nawaambie Magufuli kaacha vitu vinayoonekana. Nashauri wanaomchafua wabomoe Ikulu ya Dom Stend za mabasi alizojenga. Wabomoe SGR Wabomoe bwawa la umeme Wabomoe daraja jipya Salenda Wabomoe daraja la Busisi Wachome ndege Wabomoe ma fly over Wabomoe...
Back
Top Bottom