Recent content by kwila

  1. K

    Serikali yatoa ramani mpya ya Tanzania

    Naomba ufafanuzi, inaonekana kama mkoa wa Kagera haujapakana na ziwa ila kuna mpaka uliolizunguka ziwa victoria kutoka Kagera mpaka Mara, ni mkoa gani huo, pia huu mkoa mkuubwa sana kusini usiopakana na bahari ya Hindi ni upi?
  2. K

    Sababu za kufeli kwa zoezi sensa

    Walimu wengi hawakuchukuliwa kwenye sensa, wengi ni form 4 na 6 leavers, wengi wao walikuwa na shida na hizo posho tu sio kazi, baada ya posho ya semina wengi wameingia mitini, waliobaki kati ya nyumba 10 wanakwenda 3, zilizobaki wana pika data. Hivyo tatizo kubwa ni kutohesabiwa kwa watu wengi...
  3. K

    Malawi, Tanzania fail to agree on Lake Nyasa border dispute

    Najiuliza ikiwa Raisi Mkapa angefanya mazungumzo na Egypt kuhusu ziwa(base on Anglo Egyptian Agreement) je tungefanikiwa kuweka ule mradi wa maji wa kwenda Shinyanga? Kosa letu ni kuanza mazungumzo, hapa suala ilikuwa ni kuweka msimamo tu kama alivyofanya Mkapa.
  4. K

    Mpaka wa Tanganyika na Zanzibar Upo Wapi?

    Hakuna kero za Muungano, Muungano wenyewe ndio kero
  5. K

    Wanasiasa na Lugha ya Vita: Hekima ya kupunguza sababu ya kuingia vitani na Malawi

    Tatizo ni kuwa Wamalawi tangu uhuru wanajua kuwa ziwa lote ni lao, hata ramani zao zote zinaonyesha hivyo, pia utafiti hajauanzisha Joyce, tangu mtangulizi wake utafiti ulifanyika katika ziwa lote, wanachoshangaa kwa nini Watanzania wamesubiri wakati wa Joyce kudai ziwa, mbona hawakudai wakati...
Back
Top Bottom