Ila katiba ya CCM inaweza kumpa yeye ulaji, lakini wananchi hawahitaji katiba, serious? Kwa hiyo wananchi hawamuhitaji hata Rais anayetokana na katiba na Rais naye sio chakula🤔
Mkuu hii akili ndogo hivi umeiazima wapi? Unaweza kushindwa analysis ndogo tu kama hii walau kujua kuwa wajumbe hawa ni top structure ya uongozi katika chama. Hawa ni watu ambao angalau 90% hawakosi smartphone, hivyo probability ni very likely watakuwa whatsup (at least). Ni kujipumbaza...
Tunaacha kuwawajibisha watu, tunashinda tunawapigia makofi, tunasimama pembezoni mwa barabara masaa kuwapisha wapite kwa nguvu ya fedha zetu, halafu tunabaki kujifariji kwa maneno ya kiholela na ya kupandikizwa ya ahera na jahanum.
Kama kuna jahanum wa kwenda huko wakiwa wa kwanza ni sisi...
The idea behind reverse psychology is that by pushing for the opposite of what you want, the other person will choose to engage in the behavior that you desire.
"Kuelekea 2025 - Hakuna CCM yeyote zaidi ya Rais Samia atakayechukua fomu ya Urais wala kutia nia 2025 kwasababu ya utamaduni wetu"
Hizi dini na tamaduni za watu tulizodandia bila hata kuwa na maarifa nazo tuwaachie wenye nazo tu, twende na ya kwetu. Maana nimegundua watu wengi iwe ni uislam au ukristo tunatunisha misuri hata hatujui tunayotunishia misuri maanake nini kisa tumepewa vijina fulani tu vya kitumwa na kuambiwa...
Mnapoongelea value/thamani msiwe na vitabia vya kujilinganisha na umasikini. Nyie ndo mnaenda kuburgain mikataba mnasaini bilioni moja kwa mkataba wa trillion 2 au 3 kisa umeona watanzania hawana hata milioni mia. Tokeni kwenye poverty trauma
Na shetani uwa ana mafunuo kaa chonjo naye uwa anaitwa mungu maana kila mtu ana mungu wake kama Prof wa jalalani alimtambulisha mheshimiwa mungu wake kwa kutetemeka
Mkuu, kumbuka kuwa na Shetani ana wafuasi na watetezi wengi tu, hivyo usiangaike sana kumshawishi mfuasi wa Shetani ajue jinsi Shetani alivyo mwingia Kaini amuue Abel. Utachukiwa wewe badala ya Shetani
Lakini Mwenyezi Mungu anabaki kuwa mshindi wetu milele yote, hilo hauwezi kupingana nalo kuwa tuliposhindwa sisi kama bina-Adam dhidi ya ufedhuli wa Goliath au niseme Firauni na wafuasi wake wa giza, Mola akawa mshindi asiyeshindanishwa na visanamu mtu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.