Nahisi sijachelewa sana kwa hii discussion wadugu,
Nachojua katika swala la GPA calculations, hutegemea maamuzi ya chuo husika kuamua kutumia mtindo upi. Mfano, kwa SUA wanatumia system ya HARVARD UNIVERSITY ambayo huhitaji kila marks husika kuingizwa katika formula ili kupata hiyo GPA. wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.