Recent content by Kwetu2014

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini ununue mboga? fuga kambale nyumbani kwako kwa kutumia nailoni tu

    Please nijuze. 1. Mi nataka nijuwe bei ya kambale 1kg shilingi ngapi kwa bei ya jumla na rejareja? 2. Anachukuwa muda gani kufikisha kilo moja. 3. Je naweza kuwachanga bwawa au chember moja na Sato. nawakilisha msaada please. Navifaranga vinapatikana wapi na bei gani?. @ appoh
  2. K

    JamiiForums Tanzania Plot and 1 House with Two Equal Apartments for Sale, Chanika - Dsm

    kabribu karibu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Plot and 1 House with Two Equal Apartments for Sale, Chanika - Dsm

    house photos Karibu - karibu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kununua

    House - with two apartments: Seat room, Dining room, 2-Bed rooms, 1- Store & Kitchen, 1-Front Verandah, 1- External Toilet + Bath room and Parking area. Plot size: 600 Square meter (sq.m). Electricity: Available. Water is borehole: pure drinking water.(Maji ya kisima ni maji...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Laini za M-Pesa zinauzwa

    please weka bei
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja, nina Milioni 5

    ''kama ujapata ni PM''. Nikupataie kiwanja kizuri.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Generator 5KV linahitajika

    kabisa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tunauza bidhaa za Gypsum

    taja bei zote mkuu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    JF, pazuri
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji wanauzwa

    1. weka mawasiliano 2. taja bei ya kuku kwa apo ulipo, dar, tanga, arusha, dodoma n.k 3. wana uzito gani 4. unauza na manyoya au ushatengeza 5. majogoo au Ni mtazamo tu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Contractor/Civil engineer kwa Mkataba wa Ujenzi wa nyumba

    Tuwasiliane ili tupange maitajiyako 1. Tutembelee site 2. Tushauliane 3. Tukupatie ramani ya nyumba, kisima, umeme. 4. Tukupatie Gharama yakazi yote. 5. Tuanze kazi. 6. kama hela hipo 6months unakabiziwa nyumba yako. Contact: 0688405123
  12. K

    JamiiForums Tanzania Pata incubator kwa gharama nafuu

    mkuu nikitaka ya mayai 150 na 300, automatic kwa kutumi umeme wa solar bei gani? Je, hivi vitotozi unatangeneza apa kwetu au unavitowa nje ya tanzania? Nawakilisha!!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Plot and 1 House with Two Equal Apartments for Sale, Chanika - Dsm

    Najaribu ku upload photo, lakini inagoma sasa tatizo network au nakosea,
  14. K

    JamiiForums Tanzania Plot and 1-House with Two Equal Apartments for Sale: Chanika D’SM:-

    House with Two Equal Apartments for Sale: Chanika D’SM:- Ø Each apartment : seat + dining room, 2bed room, Store, kitchen, Front verandah, external toilet, bath room and parking area. Ø Plot size: 600 Square meter (m2). Ø Electricity: Available. Ø Water is borehole: pure drinking water.(Maji...
Back
Top Bottom