Ni CCM pekee yenye maono na nchi hii,mambo yanayojitokeza ni hali ya kawaida kula nchi inapitia.....Sioni Taasisi imara kama CCM,Kuna vyama vina viongozi wasiobadilika kwenye Post zao unajiuliza,hawa watu wana-katiba kweli?
Nchi yetu bila kuwa na mtu kama Makonda wafanyakazi ni wazembe sana na kumbukeni anakiwakilisha chama kinacho tawala,hivyo kila mfanyakazi lazima ahakikishe anatimiza wajibu wake
Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Songwe wanatarajia kumpokea Katibu Mwenezi Taifa ndugu Makonda kuanzia hapo kesho tarehe 06/03-2024. Ukiwa kama mkazi wa Mkoa huu wenye fursa nyingi,unakaribishwa kuhudhuria mikutano ya mwenezi wetu taifa.
Karibuni sana,Kidumu chama cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.