Recent content by kwetu mtama

  1. K

    JamiiForums Tanzania Unaweza pata mafanikio kwa kumfukuza mtu kazi?

    Ila kuna watu wanaandika vitu inaweza sema ata darasa la saba hajapita.....we ungetaka afanye nn km viongoz wa hzo secta wamefanya ujinga miaka yote hyo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli aendelea kutumbua Majipu: Mkurugenzi Hospitali ya Ocean Road Asimamishwa

    Nimepoteza mama mkubwa ocean road kwa uzembe wa madr.....no huduma machine mbovu duuuuh
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa DART

    Mwandika mada ujielewi na ndio mana ata watu hawachangii....unaandika utaila.....nenda msoga km umemuwaza kikwete
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vyeti vya Dkt. Mwaka bado vina utata, alipata usajili ndio akawa Dokta

    Dah!!! Hz ni dhama za magufuli ata dr nae anataka kufanyiwa uchun Guzi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa BoT azuiwa Airport kutokana na kukosa vibali vya kusafiri nje ya nchi

    Hz co dhama za kikwete
  6. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mawio huu ni udhalilishaji, Nape funga huo ujinga

    Hapa ni ukwel na uhakika kosa liko wapi....wananchi kujua behind ya mh makonda
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa hakumuelewa Mwalimu Nyerere

    Cna uhakika na kauli yako km jpm alikuwa chaguo la jk
  8. K

    JamiiForums Tanzania Baraza la mawaziri litakidhi haja za watanzania?

    Wana jamvi ni matumaini yangu kila mmoja wetu uwa anatamani kusikia raic kasema nn au wazir kafanya nn,haya ndio maisha ya watanzania kwa sasa tangu rais wetu mpya aingie madarakani. Stor zake ni nzur maskion mwa watu na ndio zenye mvuto,swali langu hii hamu ya kutaka kuliju baraza la...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa ndugu Idd Hamisi: Rais Magufuli hamuhitaji JK?

    Kweli cpend ata kusikia stor za kikwete
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makontena: Mwigulu, Saada Mkuya, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha wanatakiwa wawe ndani

    Hii nchi ya wenye ajira kubwa na familia zao cc walima mahindi na uwele uku kijijini tunaonekana maboya na sakata tu ndani ya taifa letu.....kuleni raha cc achen tulie ila mwisho wa movie ni kwa genezA au kaburn
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Polisi wasipochukua hatua, sisi tutachukua hatua wenyewe

    Unga mkono km upendi dhuruma
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa mikoa/wilaya kufuta likizo, kuweka watu vizuizini ni ukiukwaji wa sheria!

    Kwani zile idara zingine wanalipa hela za likizo? Mi nina mwaka wa tatu zijaripwa nauli yangu licha ya kijaza document zote.....ila sasa huu ubabe fanya kazi mkuu wa mkoa mzee atakuona c kufunga likizo au unataka Gazet likuone
  13. K

    JamiiForums Tanzania Billcanas wanakwepa kodi, TRA tafadhali chukua hatua

    Hii club c nackia ya mzee wetu wa vidole viwili?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

    Mungu mkubwa hadi huyu mzeee
  15. K

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hakuna haja ya kutumia busara au kutumbua kisomi ni kwenda tu na kutumbua....
Back
Top Bottom